Jaman mapenzi raha!

Jaman mapenzi raha!

Jana nimetoka kazini nimechoka nikakuta mke wangu kaniandalia maji ya kuoga na kanipelekea bafuni.baada ya msosi nilimwomba mke wangu anisindikize bafuni tukaoge wote.

Jaman raha namsugua mgongo naye pia ananisugua huku tukifanya ya kwetu.......
Unaweza kufikiri unaona mapenzi raha, kumbe unapenda kuhudumiwa tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom