nisaidieni hili wana UDSM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nisaidieni hili wana UDSM

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by SAMORE TOURE, Sep 18, 2012.

 1. SAMORE TOURE

  SAMORE TOURE Senior Member

  #1
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 5, 2012
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi zile 77,400/= kwa ajili ya vitu kama ID,exam fee etc tunavilipa vyote kwa pamoja yani kwenye pay in slip moja? pia ukiangalia lile jedwali la tution fee 2012/13 kuna baadhi ya koz sizioni yani kama ba of sc in actuarial sc.........naombeni msaada hapo:wacko:
   
 2. F

  Freeman Patrick Senior Member

  #2
  Sep 18, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Endelea kusubiri, wanakuja!
   
 3. Chebyshev

  Chebyshev Member

  #3
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 5
  hyo pesa unalipa yote kwa mkupuo. Na vile vile ada ya actuarial science ipo ndani ya ada zote za CONAS ambayo ni sh 1,300,000.... Kama umepata hiyo mkuu tutakuwa wote because na mimi nimepata hiyo hiyo. hope umenpata vizuri
   
 4. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  mi napita tuuu....
   
 5. SAMORE TOURE

  SAMORE TOURE Senior Member

  #5
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 5, 2012
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ok mkuu nimekupata yeah 2takua pamoja but mbona kwenye guide book ya tcu ada ilikua 1000,000/= vp hapo kk?
   
Loading...