NISAIDIE TATIZO HILI LA SIMU YANGU

NISAIDIE TATIZO HILI LA SIMU YANGU

Antennah

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2015
Posts
6,933
Reaction score
9,034
Salam

Samahani wakuu....simu yangu ni mpya haina mda mrefu "samsung grand prime+"

Sasa nashangaa kila nikichaji full inaenda mpka ikifika 60% inazima.....yani kila inapofika 60% inazima kabisa nakuonesha kwamba chaji empty.......na nikiweka chaji inaanza kabisa kujaza from 0% tena bil a aibu......na inapozima haiwaki kabisaa jamn.

Tatzo ni nini nisaidieni.
 
Pole sana jaribu kubadili betri uone km itaendelea na huo ugonjwa au irudishe samsung customer care wakulipe pesa yako
 
Hiv hizi betri zake sh ngapi....sina uzoefu sana na sumsung.....nimetoka kwny tecno
 
Tatizo betry hio imekufaa badilisha mkuu,kama unawaranty nenda ulipo nunua watakubadilishia
Itabidi nifanye hvo mtaalam.......nadhani ni betri kimeo hii
 
Salam

Samahani wakuu....simu yangu ni mpya haina mda mrefu "samsung grand prime+"

Sasa nashangaa kila nikichaji full inaenda mpka ikifika 60% inazima.....yani kila inapofika 60% inazima kabisa nakuonesha kwamba chaji empty.......na nikiweka chaji inaanza kabisa kujaza from 0% tena bil a aibu......na inapozima haiwaki kabisaa jamn.

Tatzo ni nini nisaidieni.
Warudishie waliokuuzia
 
Mimi nina simu ya Tecno kila nikiweka charge inaandika "Charger Connected" sijui kuna tatizo gani hapo.
 
Back
Top Bottom