Nisaidie kujua bado upo na hujashindwa na lolote....

glass amo

JF-Expert Member
Aug 11, 2017
3,568
4,192
Nampenda ...
Namuamin...
Namuheshimu hasa katika kugawa ridhiki na maaamuzi
Yeye akiwa upande wangu nan alie juu yangu????
Akiamua hakuna wakupinga hata ufanyaje....
[HASHTAG]#mungu[/HASHTAG] pekee
ninacho jua kua hulali husinzii kila Mara upo kwa ajili yangu.
sifa nakupa wangu [HASHTAG]#maulana[/HASHTAG] katu hujawahi shindwa wala kumuacha yoyote alie kuita wew kila mmoja kwa nafasi yake.
Rafiki yangu wa kweli na hakuna kama yeye chin ya [HASHTAG]#jua[/HASHTAG],
 
hivi mnakuwaga mmekula ugoro ama kitu gani KWANZA WE NI MWANAMUME AMA MWANAUMKE?

NONSENSE....................
 
sijaona kosa la mtoa mada ameamua kutoa shukrani zake za dhati kwa Mungu


hongera mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom