Nisaidie jamani, nina hamu ya kufanya mapenzi

Nisaidie jamani, nina hamu ya kufanya mapenzi

U can just do it hakuna madhara awe makin tu na style mnayotumia lakin pia kumalliza ham si lazima uingizwe dudu kuweni watundu kidogo
 
Tusi liko wapi hapo? Au unadhani nina huruma zaidi na ny.ege zako za umapepe kuliko maisha ya huyo dogo?? Acha kutuzingua we m¥@%ya.. Kwa hiyo neno ngono tafsiri yake ni tofauti na kutomberner?? Usitake pachafuke hapa.

Mkuu heshima kwako!! Mie nimependa tu hiyo tafsida uliyotumia hapo!!lugha ya kigeni ila matamshi yale yale
 
Habarini za leo wana JF

Naombeni mnisaidie kunifahamisha, mtu akijifungua kwa operation ni baaada ya muda gani anaruhusiwa kufanya mapenzi?

Mimi nilijifungua kwa operation mwezi uliopita sasa nimemiss sana dudu ya mume wangu. na pia naogopa asije mume wangu akatafuta mchepuko wakumtuliza.

Nashukuru sana.

Best subiri miezi minne ipite usije fumuliwa mshono, kwani Dr wako hakukwambia? Kidonda kipo ndani sio nje mamii...Pia Fanya mazoezi madogo madogo kama kutembea na kunywa maji warm na asali na lemon ili usaidie kidonda cha ndani kuheal mapema na vile vile relax katoto bado kachanga , kanyonyeshe sana . futa wazo lolote baya kuhusu mumeo kuchepuka akitaka atachepuka tu hata ukimpa usiku mzima. Kila la heri wit your new bundle of joy!
 
As long as uko comfortable unaruhusiwa ila epuka sarakasi na mauno kama feni. Mwili wako utakupa signals zote kama unachofanya sio sawa, kwa hiyo jisikilizie na usilazimishie.

siku nyingine maswali haya uwe unauliza ukienda hospitali. Sio lazima kwa gynae, hata manesi watakuelewesha. Usisahau kuzingatia uzazi wa mpango.
jamani mnatakiwa muulize kwanza una muda gan haujafanya mapenzi. sio mnasema tu. mwenzenu nina miezi kazaa cjafanya thats why nimeuliza ili nijue muda gani ninaruhusiwa
 
Habarini za leo wana JF

Naombeni mnisaidie kunifahamisha, mtu akijifungua kwa operation ni baaada ya muda gani anaruhusiwa kufanya mapenzi?

Mimi nilijifungua kwa operation mwezi uliopita sasa nimemiss sana dudu ya mume wangu. na pia naogopa asije mume wangu akatafuta mchepuko wakumtuliza.

Nashukuru sana.

Hii ndio sababu wanaume wanatakiwa kuhudhuria clinic na wake zao kabla na baada ya kujifungua angalau mara chache. Sema tatizo wanaume tunaogopa kupima hechiaivii hivyo tunawatumia wanawake kama chambo ya kujua usalama wetu. Lakini mwanaume akihudhuria clinic na mkewe kwa pamoja wanapata elimu nzuri juu ya haya mambo ya mgegedo kabla na baada ya kujifungua yatakuwa na utaratibu gani.

Kwa hali uliyo nayo na ukizingatia ni mwezi mmoja tangu ujifungue kwa operation ni hatari kugegedana. Unatafuta kushonwa mara ya pili mdada. Watu hukaa miezi 4-6 baada ya kujifungua ndipo huanza hayo mambo. Vinginevyo kaa na mumeo mueleze hisia zako juu ya gegedo lake lakini pia mjadili hatari inayoweza kutokea. Ikiwezekana tafuteni safe style na wakati wa tendo kiuno chako kisijishughulishe ila mumeo ndo atoe huduma yote na asiwe rough rider utakiona cha moto. Pleeease! ROUGH RIDING IS NOT APPLICABLE otherwise Subiri kidonda kipone na iwe chini ya ushauri wa daktari.

Pia ondoa mawazo ya kuwa anakusaliti. Weka kichwani mwako imani kuwa mumeo hapigi game za mchangani hata kama unahisi anafanya hivyo.
 
Sijui kwa nini watu wanapenda kuwa judgmental, ukweli ni kwamba Binadamu tupo tofauti sana, ni vizuri tukajifunza kuwa accomodative, kitabibu Dr. Riwa amemaliza yote, kila la heri na malezi mema!
 
kidonda cha operation kinachukua muda wa miezi mitatu kupona kwa nje ....na miezi sita kupona ndani ..... nadhani daktari pia alikupa tahadhari hio
 
Pole mumy vumilia tu na usiww na mtazamo hasi kwa mumeo
 
U can just do it hakuna madhara awe makin tu na style mnayotumia lakin pia kumalliza ham si lazima uingizwe dudu kuweni watundu kidogo

Khakhaa patamu hapooooo!
 
Kaa kama miezi mieili tu lakin Hugo mwanaume atumie condom au were uzazi was mpango hapo ni kuhakikisha hupati mimba ikitokea umepata nimapema mno uterus haijashona vizuri inaweza ika rupture wakati mtoto tumboni anakua kabla hats ya contraction
 
Mpe blows ukamue maziwa ili asitafte pa kuchujia kama hofu yako ni atachepuka.. Ila kama una genye si akunawe na kisses had uridhike...!?

Au nyie ile no penetration hamuijui ndio mana na mimba umeipata ndani ya mda mfupi!?
 
kidonda cha operation kinachukua muda wa miezi mitatu kupona kwa nje ....na miezi sita kupona ndani ..... nadhani daktari pia alikupa tahadhari hio

ni wiki mbili tu! kwa tahadhari na confortability wanaweza subiri wiki 6, ambapo viungo vya uzazi vinakuwa vimerudi katika hali ya kawaida.
 
acha kunitukana Masterplan.
ngono wakati ni mume wangu.

Hiyo ni halali yako, si tu unahamu ya kukutana na mumeo pia ni halali yako kumlinda mwenzako.
Watu wasio na maadili hawalioni hili.
Ushauri: Mwone daktari wako kwa ushauri mzuri.
Endelea kujali na kuitunza ndoa yako.
 
Back
Top Bottom