MankaM
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 9,448
- 3,073
ni wiki mbili tu! kwa tahadhari na confortability wanaweza subiri wiki 6, ambapo viungo vya uzazi vinakuwa vimerudi katika hali ya kawaida.
una hatar wew
ni wiki mbili tu! kwa tahadhari na confortability wanaweza subiri wiki 6, ambapo viungo vya uzazi vinakuwa vimerudi katika hali ya kawaida.
Subiri hadi mtoto aanze darasa la kwanza. Yani unaacha kuweka mawazo jinsi gani umkuze mtoto unawaza waza ngono? Nyau we.
Mie mke kama huyu simuezi jamani.
Yaani mwezi 1 tu nyege mpaka machoni?
Habarini za leo wana JF
Naombeni mnisaidie kunifahamisha, mtu akijifungua kwa operation ni baaada ya muda gani anaruhusiwa kufanya mapenzi?
Mimi nilijifungua kwa operation mwezi uliopita sasa nimemiss sana dudu ya mume wangu. na pia naogopa asije mume wangu akatafuta mchepuko wakumtuliza.
Nashukuru sana.
Threads zingine ukitoa, unajitafutia matusi.... haya dadaaa yaoge hayo.pole
acha kunitukana Masterplan.
ngono wakati ni mume wangu.