Nisaidie jamani, nina hamu ya kufanya mapenzi

Nisaidie jamani, nina hamu ya kufanya mapenzi

Vumilia. Na mshirikishe mwenzio aikubali hali yako ya matatizo.
 
Utakuja kufumuko mshono ndiyo wivu ukuishie hapo hapo na kumpa nafasi mwenzio ya kuchepuka. Tulia kwa muda wa miezi minne mpaka sita. Kama akichepuke muache achepuke angalia afya yako na usalama wako kwanza. Kama ni yako ni yako tu, na kama ipo, ipo tu.
 
Tumia njia mbadala kama oral sex. Ataridhika na atabaki njia kuu
 
Best subiri miezi minne ipite usije fumuliwa mshono, kwani Dr wako hakukwambia? Kidonda kipo ndani sio nje mamii...Pia Fanya mazoezi madogo madogo kama kutembea na kunywa maji warm na asali na lemon ili usaidie kidonda cha ndani kuheal mapema na vile vile relax katoto bado kachanga , kanyonyeshe sana . futa wazo lolote baya kuhusu mumeo kuchepuka akitaka atachepuka tu hata ukimpa usiku mzima. Kila la heri wit your new bundle of joy!
hahahhahaha.nipo hapa mzee wa dunga dungaaa...hiyo mbona ni baada ya wiki mbili tyuuu
 
Back
Top Bottom