Nisaideni kuwezesha USSD kwenye modem E3372H-153

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,379
Habari zenu i hope mpo wazima kabisa, Nina modem ya huawei3372h-153 ipo unlocked lakini tatizo ni kwamba sina option za muhimu kama ussd, phone book, etc...PLease wana tech mwenye uelewa wa kuwezesha ussd naomba anisaidie kuwezesha
 
Habari zenu i hope mpo wazima kabisa, Nina modem ya huawei3372h-153 ipo unlocked mitandao yote lakini tatizo ni kwamba sina option za muhimu kama ussd, phone book, etc...PLease wana tech mwenye uelewa wa kuwezesha ussd naomba anisaidie kuwezesha
 
Kwani ukii connect kwa pc haikupi option ya ku install Dashboard yake?? Kama haikupi hiyo option inabidi u download hiyo dashboard manually.
 
Habari zenu i hope mpo wazima kabisa, Nina modem ya huawei3372h-153 ipo unlocked lakini tatizo ni kwamba sina option za muhimu kama ussd, phone book, etc...PLease wana tech mwenye uelewa wa kuwezesha ussd naomba anisaidie kuwezesha
Uko wapi?
 
update web ui hapo ila upate web ui yenye features nying kama sms phone book ila kua makn usje weka firmware tu ukauwa moderm
 
Back
Top Bottom