Nisaideni jamani kwa ushauri

Nisaideni jamani kwa ushauri

ongeza mke wa pili. na ukapime ukimwi kabla hujamuambukiza mkeo incase.
 
Dah! Ndio hivo tena tamaa bin ibilisi amekutembelea na amezua balaa... Kwanza ndo ukubwa huo. Ebu naomba mwambie ukweli huyo ulompa ujauzito ili ajue wewe ni married yeye ataamua azae au atoe(mi nashauri azae tu),ukishindwa mshirikishe rafiki yako hiyo ndio salama yako
 
Nina wasiwasi na Elimu unayodai unayo the way unajiexpress.
Nimeshawishiwa na rafiki yangu.
Demu.
Manzi.
Umeenda naye kwako wakati una family.
Umekutana kwa road.
Siku ilofuata uko kazini kwake.
Je ni kweli wewe ni a Master's student?
Ulichofanya ni kitu cha kufanywa na form two wa shule ya kata tena asiyejitambua.

mkuu kesha sema chuo chenyewe kipo Dodoma!
 
umeshafanya dhambi ya kudanganya(uongo), umeshafanya dhambi ya kuzini, dhambi ya kuuwa inafuatia (abortion)! unajua watu wengine bwana shimo umelichimba mwenyewe wataka sisi sote tuingie! kumpata huyo mwanamke ulimwanbia marital status yako kumwacha ndo unataka mwambia! uli du naye barely hukujua matokeo yake? au ww mtu wa mihemko kiasi kwamba unapoteza network na hakuna kujitambua tena? Narudia tena aziniye na mwanamke hana akili kabisa afanya jambo litakalo angamiza roho yake!
 
pole sana jombaaaaaaaaaaa, kwakfpi hakjaharibka k2. chakfanya hapo nikumwita huyo manz umpe kavu bila aibu, vngnevo jombaaaa utavunjikiwa jahaz.
 
Ni ngumu sana lakini i afadhali ukiri kosa kabla mkeo hajakuja kushtukizwa na wapambe wa mtaani. Kwangu mimi jikaze mweleze mkeo ila sasa uwe makini sema ukweli ila wenye uogo usisem kwamba ulimleta hapo home maanake hayo yatakuwa makosa zaid. Kisha tubu kwake kila ktu.

Baadae mwambie binti kwamba unamke hivyo wewe utalea huyo mtoto akizaliwa.dah!!!!!!!!!!! Ila ni ngumu????
rafiki....... hapo kwenye red hapoooooooo hapana.....
kama anaamua kutubu mi naona aseme ukweli wooote, bila kuacha kitu.
ni bora aszungumzie kabisa venue.... kama mkewe hatamwuliza basi atakuwa save, kama akimwuliza basi amwambie ukweli kuwa alimleta hapo. kumbuka wapambe wapo na kama ambavyo mke atapata habari kuwa kuna King'asti huko nje basi pia hivyo hivyo atapata habari kuwa "tena aliletwa kitandani kwako".... toba..... kesi juu ya kesi.. Kapande..... kama kweli unaamua kuomba msamaha basi kubali liwalo na liwe; sema ukweli wako, omba msamaha, kama wife akifanya cost-benefit analysis na kuona project ipo sound basi atakusamehe na kuendelea ku-invest (hapa asione Dark City na Asprin, lol!)
 
Last edited by a moderator:

Kwa heshima yako, sijasoma hii makitu mkwe wangu.

Haya fanya fasta kudelete.
 
hebu ongea na wife ili akushauri juu ya hili.......
 
rafiki....... hapo kwenye red hapoooooooo hapana.....
kama anaamua kutubu mi naona aseme ukweli wooote, bila kuacha kitu.
ni bora aszungumzie kabisa venue.... kama mkewe hatamwuliza basi atakuwa save, kama akimwuliza basi amwambie ukweli kuwa alimleta hapo. kumbuka wapambe wapo na kama ambavyo mke atapata habari kuwa kuna King'asti huko nje basi pia hivyo hivyo atapata habari kuwa "tena aliletwa kitandani kwako".... toba..... kesi juu ya kesi.. Kapande..... kama kweli unaamua kuomba msamaha basi kubali liwalo na liwe; sema ukweli wako, omba msamaha, kama wife akifanya cost-benefit analysis na kuona project ipo sound basi atakusamehe na kuendelea ku-invest (hapa asione Dark City na Asprin, lol!)

Mbona mnamchuuza mtoto wa mwanamke mwenzenu?

Lini na wapi mwanamume anaweza kufanya confession suicidal kama hiyo?

Mambo ya kiume yanamalizwa na wanaume...basi!

Kwa sasa wife siyo tatizo. So, anatakiwa yule kuwadi wa kiume na minjemba mingine kama mitatu wamweke sawa manzi ili ajue kuwa alitembea na mume wa mtu na sasa ndiye anatarajia kuzaa naye. Akishaumeza huo ukweli mchungu, ndiyo issue ya wife itaingia. Tena kama ni muhimu kwa sasa, which is not the case!!

Ila pia muache uzinzi wa hovyo kama wa jogoo!

Babu DC!!
 
babu, kwani lile tangazo la usipite hapa hukulielewa?
nilijua tu utatia mchanga kitumbua changu, lol!
by the way, ile birth certificate utaileta lini?
 
babu, kwani lile tangazo la usipite hapa hukulielewa?
nilijua tu utatia mchanga kitumbua changu, lol!
by the way, ile birth certificate utaileta lini?

Unajua wewe na teacher gfsonwin mmeniudhi sana. Mnawezaje kumnywesha sumu mtoto wa mwenzenu?

Na vipi, umeamua kuvua gamba?

Sina sababu ya kuleta certificate kwa sababu nitakuwa naanzisha ugomvi na wadogo zangu bila sababu!

Babu DC!
 
Last edited by a moderator:
Unajua wewe na teacher gfsonwin mmeniudhi sana. Mnawezaje kumnywesha sumu mtoto wa mwenzenu?

Na vipi, umeamua kuvua gamba?

Sina sababu ya kuleta certificate kwa sababu nitakuwa naanzisha ugomvi na wadogo zangu bila sababu!

Babu DC!
ha haaa, babu sisi tulikuwa tunamtaka aendane na watu wa siku hizi, lol!
ukweli na uwazi.......
nimeamua kujivua gamba mtu mzima mwenzangu, maana niliona kuna kutoelewana, lol!
remember "I am just a small boy"?...... utajaza mwenyewe, lol!
 
Ngoja nitafute majibu ili nijaze...

Babu DC!!
 
Mm ni mwanaume miaka 30 nimeoa nna mtoto 1,bado nasoma masters chuo kimoja hapa Dodoma,
mwaka huu mwez wa 4 nlikutana na msichana m1 nikiwa na rafiki yangu tukiwa kwenye gari rafiki yangu alinishawishi sana tusimame na kuongea naye baada ya mm kumsifia yule demu. Tukasmama na kumsimamisha yule manzi jamaa alikuwa anajuana naye,bas akatuelekeza wap ofice yake ilipo ili kesho yake tumtembelee kwa jthada kubwa za rafiki yangu kesho tukaenda ofisin kwake .tulipofika rafk yangu akaondoka na gari na kuniacha naye kwa ushawishi kwamba nshindwe mwenyewe.kweli nikamtongoza akakataa kwa muda but nikapata sim namba yake tukaendelea na mawasliano mpaka akakubali
4weeks later nikatembea naye tena nymbani kwangu baada ya wife kwenda likizo,kiukweli huyu mwanamke anajua malove sana.ok nilifanya makosa makubwa sana lakini haya ndo yanayonitesa
1.Ili kumpata skumwambia marital status yangu
2.Nili du naye bare mbali nayeye kusisitiza tuvae condoms sasa ameconceive preg ya 1 month sasa
3.Sasa anang'ang'ania aje home na wife amerudi namkatalia kwa kumwambia kuna watoto wa dada yangu nna kaa nao hivyo si heshima kwa yy kuja kwa sasa.Sababu hii muda unavyokwenda inapoteza uhalali kwake na kumwambia ukweli jinsi nimwonavyo sasa itakuwa balaa kias inaweza fika kwa wife kwa mtiti atakaouleta.Lakini pia aweza fanya abortion ambayo mm staki,
Sasa sielewi nfanyeje kwan naona siku anaweza kuja hom.naomba ushauri wana jf

.....ushauri wangu,

1. 'Ungama' dhambi zako kwa wahusika "waathirika" wote katika mduara huu, i.e Mwenyezi Mungu, Mkeo, Binti mzazi mtarajiwa...

2. Jikubalishe na matokeo yoyote, iwe ni short/long term yajayo. Ndio majaaliwa yako hayo ULIYOJICHAGULIA.

3. Mwisho, huyo the-so-called rafiki jichunge nae sana! ipo siku atatembea na Mkeo pia, unamuamini sana ee?
 
Duh! naomba kwanza ujibu haya maswali mawili:-
1. unampenda mkeo??
2. unaipenda ndoa yako?
Mke ni bora kuliko mwanasesere, mwambie huyo mwanamke ukweli kuwa una mke na unaishi nae, mwambie mkeo kilichotokea na muombe msamaha, mwisho achana kabisa na huyo mwanamke kama unahisi bado unaihitaji hiyo ndoa yako!!
kapime ngoma, ili usije muua huyo mkeo asiye na hatia,kisha acha umalaya na kama ndio tabia yako tumia kinga!!

wewe kama ni mwanaume ujui uchungu anaopata huyo dada mwanao au dada yako yatampata siku moja,dada wa watu hana kosa maana hata yeye hakujua kama huyo ana mke
 
Back
Top Bottom