Wewe! Una master na mke afu umefanya UPUUZI!
Anyway, kwa vile umemkosea mke wako (ambaye ni innocent) na umemkosea bint ya watu (other innocent), usifanye kosa jengine la kumkataa yeyote, coz yule mschana, ulimsifia, rafiki mnafiki akakutia matatizoni, mschana alikukataa still 4 weeks unamfatafata, moreover hakutaka kuduu kavkav. Eti 'lakini nnamke' ndio unatambua eenh! Akili zangu mbovu zingekushauri ivi:
unatakiwa kubalance, mkeo ukimwambia kinaweza kisieleweke, but kama unahis atajua tu, ni bora umwambie, huyo mschana mwengine ni LAZIMA umwambie unamke, kama vipi umkodie tu sehem nyengine, kumuacha yoyote SIO UTU HATA KIDOGO!