Nisaideni jamani kwa ushauri

Nisaideni jamani kwa ushauri

Mm ni mwanaume miaka 30 nimeoa nna mtoto 1,bado nasoma masters chuo kimoja hapa Dodoma,
mwaka huu mwez wa 4 nlikutana na msichana m1 nikiwa na rafiki yangu tukiwa kwenye gari rafiki yangu alinishawishi sana tusimame na kuongea naye baada ya mm kumsifia yule demu. Tukasmama na kumsimamisha yule manzi jamaa alikuwa anajuana naye,bas akatuelekeza wap ofice yake ilipo ili kesho yake tumtembelee kwa jthada kubwa za rafiki yangu kesho tukaenda ofisin kwake .tulipofika rafk yangu akaondoka na gari na kuniacha naye kwa ushawishi kwamba nshindwe mwenyewe.kweli nikamtongoza akakataa kwa muda but nikapata sim namba yake tukaendelea na mawasliano mpaka akakubali
4weeks later nikatembea naye tena nymbani kwangu baada ya wife kwenda likizo,kiukweli huyu mwanamke anajua malove sana.ok nilifanya makosa makubwa sana lakini haya ndo yanayonitesa
1.Ili kumpata skumwambia marital status yangu
2.Nili du naye bare mbali nayeye kusisitiza tuvae condoms sasa ameconceive preg ya 1 month sasa
3.Sasa anang'ang'ania aje home na wife amerudi namkatalia kwa kumwambia kuna watoto wa dada yangu nna kaa nao hivyo si heshima kwa yy kuja kwa sasa.Sababu hii muda unavyokwenda inapoteza uhalali kwake na kumwambia ukweli jinsi nimwonavyo sasa itakuwa balaa kias inaweza fika kwa wife kwa mtiti atakaouleta.Lakini pia aweza fanya abortion ambayo mm staki,
Sasa sielewi nfanyeje kwan naona siku anaweza kuja hom.naomba ushauri wana jf

kaa na huyo dada faragha kwanza mueleze kwa utaratibu kwamba una mke,mpe msimamo wako hakikisha unalea mtoto wako,then kuondoa shari tafuta muda mweleze mke wako na umuombe msamaha tena upige goti mapema kabla huyo mwanadada hajaja kumweleza maana itauma zaidi. dada wa watu hana kosa hukumwambia una mke ye akajua mume ndo huyu nimejishindia kumbe kapata mbulula. na uache tamaa utakufa
 
Akilonga na Mkewe basi atapata suluhisho la kudumu....
Shosti hujambo lakini?
ha haa, mtahadharishe pia anapolonga na mkewe pembeni aweke asali au mayai tayari kwa first aid....
sijambo rafiki, mzima weye?
 
Mm ni mwanaume miaka 30 nimeoa nna mtoto 1,bado nasoma masters chuo kimoja hapa Dodoma,
mwaka huu mwez wa 4 nlikutana na msichana m1 nikiwa na rafiki yangu tukiwa kwenye gari rafiki yangu alinishawishi sana tusimame na kuongea naye baada ya mm kumsifia yule demu. Tukasmama na kumsimamisha yule manzi jamaa alikuwa anajuana naye,bas akatuelekeza wap ofice yake ilipo ili kesho yake tumtembelee kwa jthada kubwa za rafiki yangu kesho tukaenda ofisin kwake .tulipofika rafk yangu akaondoka na gari na kuniacha naye kwa ushawishi kwamba nshindwe mwenyewe.kweli nikamtongoza akakataa kwa muda but nikapata sim namba yake tukaendelea na mawasliano mpaka akakubali
4weeks later nikatembea naye tena nymbani kwangu baada ya wife kwenda likizo,kiukweli huyu mwanamke anajua malove sana.ok nilifanya makosa makubwa sana lakini haya ndo yanayonitesa
1.Ili kumpata skumwambia marital status yangu
2.Nili du naye bare mbali nayeye kusisitiza tuvae condoms sasa ameconceive preg ya 1 month sasa
3.Sasa anang'ang'ania aje home na wife amerudi namkatalia kwa kumwambia kuna watoto wa dada yangu nna kaa nao hivyo si heshima kwa yy kuja kwa sasa.Sababu hii muda unavyokwenda inapoteza uhalali kwake na kumwambia ukweli jinsi nimwonavyo sasa itakuwa balaa kias inaweza fika kwa wife kwa mtiti atakaouleta.Lakini pia aweza fanya abortion ambayo mm staki,
Sasa sielewi nfanyeje kwan naona siku anaweza kuja hom.naomba ushauri wana jf

una mtoto mmoja tu ushaharibu, wewe unafikiri huyo mkeo atakuamini tena? Angalia asije akakutema forever......
Saa zingine maamuzi ya dakika 1 yanaweza kukufanya ujute maisha yote, me sioni njia sahihi zaidi ya kumpa ukweli mkeo kwamba yeye ni Bi Mkubwa, Na mwenye mimba Bi Mdogo kwisha habari.
 
Mm ni mwanaume miaka 30 nimeoa nna mtoto 1,bado nasoma masters chuo kimoja hapa Dodoma,
mwaka huu mwez wa 4 nlikutana na msichana m1 nikiwa na rafiki yangu tukiwa kwenye gari rafiki yangu alinishawishi sana tusimame na kuongea naye baada ya mm kumsifia yule demu. Tukasmama na kumsimamisha yule manzi jamaa alikuwa anajuana naye,bas akatuelekeza wap ofice yake ilipo ili kesho yake tumtembelee kwa jthada kubwa za rafiki yangu kesho tukaenda ofisin kwake .tulipofika rafk yangu akaondoka na gari na kuniacha naye kwa ushawishi kwamba nshindwe mwenyewe.kweli nikamtongoza akakataa kwa muda but nikapata sim namba yake tukaendelea na mawasliano mpaka akakubali
4weeks later nikatembea naye tena nymbani kwangu baada ya wife kwenda likizo,kiukweli huyu mwanamke anajua malove sana.ok nilifanya makosa makubwa sana lakini haya ndo yanayonitesa
1.Ili kumpata skumwambia marital status yangu
2.Nili du naye bare mbali nayeye kusisitiza tuvae condoms sasa ameconceive preg ya 1 month sasa
3.Sasa anang'ang'ania aje home na wife amerudi namkatalia kwa kumwambia kuna watoto wa dada yangu nna kaa nao hivyo si heshima kwa yy kuja kwa sasa.Sababu hii muda unavyokwenda inapoteza uhalali kwake na kumwambia ukweli jinsi nimwonavyo sasa itakuwa balaa kias inaweza fika kwa wife kwa mtiti atakaouleta.Lakini pia aweza fanya abortion ambayo mm staki,
Sasa sielewi nfanyeje kwan naona siku anaweza kuja hom.naomba ushauri wana jf

Baada ya matatizo,mbona hujamtaja tena rafiki yako?kapotelea wapi?ahusike na ujauzito huo kaka.one thing nimekuja gundua,is, marafiki can determine a life.na pamoja na mtu kuwa mtu mzima,bado rafiki ana kishawishi kikubwa katika maisha.na ndo yaliyokufika.huwa umri na utu uzima hausaidii.so kama mtu usipojua kusimama wewe binafsi and be yourself,siku zote utayumba tu.mtu unaona una rafiki mhuni au asiyewazia maendeleo afu bado unammantain kama rafiki wa karibu na unaruhusu akushawaishi,yeye kama nani??rafiki wa kweli ni babako na mamako mzazi tu,fullstop!au ukipata HIV,na rafiki atapata?hakunaga kubebeana mizigo in life.u have been a fool,na masters yako haijakusaidia.umeshindwa kureason kitu kidogo.kweli hekima haipatikani shuleni!..maji yameshamwagika,usibebe dhambi ingine ya abortion.confess to ur wife to begin with na huyo binti mpe hali halisi.
 
sina uhakika kwamba hata maprofesa hawafanyi makosa hususani ya kimapenz,Yes what i did was very wrong,but it is love affairs and I can say i was blind of all mistakes i have done at that time.

Blind wapi??afu tatizo ya waafrika,mtu anataka akikosea napo abembelezwe simply because its a mistake.kuna makosa ya bahati mbaya na makusudi.uliamua kucheat,na u deserve kugombezwa kama mtoto mdogo coz hata ulichofanya ni cha kitoto.hata ungekuwa profesa,mimi ningekutukana tu.mkeo angefanya ungemuelewa?hivi kwanini tunakuwa na tabia ya kujustify makosa?inakera kweli!!!u weren't blind,you were in your right mind when u did it.usianze jitetea hapa!
 
Kama ulivyoweza kumtongoza bila woga na pili kama ulivyoweza kumpeleka kwako bila woga na tatu kama ulivyoweza kufanya nae mapenzi bila condom bila woga sasa wapaswa kumwambia kile unachohisi bila woga
 
Hahaha unanchekesha! Yaani ulikoroge wewe na saa ya kulinywa nipanic mie?

Jishaue hapa huyo dada atakuja na surprise utakoma mwenyewe. Si uwaulize wanaumr wenzio how to cheat? Hiyo masters sijui kama italisaidia taifa!

hiyo masters ilisaidie taifa? kha! hiyo masters sijui kama itamsaidia hata yeye mwenyewe na familia.
 
Utajijua!wanaume kama nyie ndo mnasababisha wanaume wengne waliotulia waonekane wabaya na watukanwe bure.
 
Back
Top Bottom