Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,481
- 11,688
Mahakama ya haki za binadamu barani Ulaya imeamrisha kuendelea kutekelezwa hukumu ya kupiga marufuku vazi la hijab linalofunika uso mzima nchini Ufaransa.
Kesi hiyo iliwasilishwa na mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka ishirini na nne raia wa Ufaransa ambaye alidai kuwa marufuku hiyo inakiuka haki zake za kuabudu na kujieleza.
Mahakama hiyo hata hivyo imesisitiza kuwa Ufaransa inayo haki ya kuhifadhi utangamano na usawa katika jamii kwa kuweka marufuku hiyo.
Sheria hiyo iliwekwa nchini Ufaransa miaka minne iliyopita na tangu hapo Ubelgiji imeiga.
Chanzo;bbc
Wewe chunga sana njaa yako hilo swala unalolingilia huliwezi,nafikiri humo kichwani mwako hutumi ubongo unatumi tope jeusi

Mbona askari polisi wa kike ambao ni muslims huwa wanavaa kofia tu?utasubiri sana! eti tanzania wafanye kama ufaransa, elewa popote pale mtu aliyevaa nikabu atahitajika kutoa kitambulisho basi na nikabu atatoa tena kwa taarifa yako hiyo nikabu ni kakitambaa kadogo tu ambacho atakarusha kwa nyuma basi
Mbona askari polisi wa kike ambao ni muslims huwa wanavaa kofia tu?
Hapo nikabu haihusiki kabisa, nitauliza tena,nami nitakuuliza mbona padri alafu analawiti?
Hapo nikabu haihusiki kabisa, nitauliza tena,
mbona askari polisi wa kike ambao ni muslims huwa wanavaa kofia tu? Kama una swaumu, ni bora ukae kando usije ukafuturishwa kabla ya muda
Sasa hujui kama nchi yenyewe ya kigalatia? Wekeni basi nahiyo sheria yakuzuia niqab maana mnadhani hii nchi ni yenu tu
kosa lake ni kuripoti hukumu iliyotolewa au kipi hasa?
nami nitakuuliza mbona padri alafu analawiti?
Hapo nikabu haihusiki kabisa, nitauliza tena,
mbona askari polisi wa kike ambao ni muslims huwa wanavaa kofia tu? Kama una swaumu, ni bora ukae kando usije ukafuturishwa kabla ya muda
Na hawa ni Wagalatia?