LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,498
- 3,390
Mr Rocky, Wasiliana na hawa jf members walioko Arusha na wengine ili ikiwezekana (natumaini itawezekana) tuonane baadaye mida ya jioni. Naondoka hapa kwa muda kwenda sehemu. Arusha karibu watu waniponze (hasa jf members, allah, hahahaaa) hata nisiende kufanya lililonileta.
1) Preta
2)Fillipo
3) Mzee wa Rula
4)Pakajimmy
5)Lilyflower
6)Black Woman
7)Crashwise
8)LiverpoolFC
9)Igwe
10)Loner
11) LiverpoolFC,
12) babe S
13) Erickb52
etc, etc
Pls najaribu kutaja majina ya wale ambao najua wapo Ar, add and invite more members

Napajua Preta ila sema mi sio mshirika wa kuku wa pale
Ila kama wangekuwa ni wakienyeji ungenikuta kila siku sema huwa nawasindikiza jamaa zangu wanaopenda hiyo kitu
Karibu sana Simplicity, ukifika stand utamkuta Erickb52 manake ndio kazi yake kupokea wageni!
We mgeni Simplicity mbona umekuwa mwenyeji ghafla unawafaham wenyeji wote wa huu mji
Tutaanza kukuogopa aise usije ukawa mwanamtandao bure
basi kwa kuku wa kienyeji twende sakina bar au lenana....coz huyu mgeni kantisha...hiyo list aliyotaja....mmmh.....atupe ile ID ya siku zote ndo tutampokea....
Dah kwa Sakina Bar napakubali halafu siunajua hata nikizidiwa najivuta tu nazama home!basi kwa kuku wa kienyeji twende sakina bar au lenana....coz huyu mgeni kantisha...hiyo list aliyotaja....mmmh.....atupe ile ID ya siku zote ndo tutampokea....
Heee! anaweza akaahirisha safari, kwani huwa mnaonana wapi unavompeleka stand?
Pa kufikia, sijajua ni wapi ila nitafikia nyumba za wageni, I mean hotel, guest etc. Sina uenyeji sana Arusha, mara ya mwisho nilipitia hapo 2008. Unaweza kunipa hints kuhusu sehemu nzuri za kufikia. Thanks
Mmmhh!
Kweli mtandao ni noma!
Nani kakupa list ya MEMBER wa hapa A town?
Tutakuogopa we mgeni!