Nishapata mchumba anaitwa Madame B unaonaje ukifanya utaratibu wa usajili?!
Navyomjua mimi huyo ni mke tena wa ndoa kabisa wa mwanasheria mmoja wa kihaya kwa jina la Ruttashobolwa na sijawahi pata taarifa ya kuachana kwao, ngoja niipeleke kwenye kamati ya screening ili Mamndenyi afanye kazi yake
Madame B please njoo unijibie haya.
Navyomjua mimi huyo ni mke tena wa ndoa kabisa wa mwanasheria mmoja wa kihaya kwa jina la Ruttashobolwa na sijawahi pata taarifa ya kuachana kwao, ngoja niipeleke kwenye kamati ya screening ili Mamndenyi afanye kazi yake
Karibu sana mgeni.ww man au woman?? manake madame b anahitaji mume,na mm nahitaji muke.2weke wazi.
bila shaka madame B atanifaa.
Sijaolewa na wala sijachumbiwa.
Huyo Baba V anantakaga siku nyingi tu.
Na Ruttashobolwa ni kaka angu mtoto wa Ba Mkubwa yule wa Bunju.
Ndio utanifaa mpenzi.
Ila napenda kujua Asset zako
Ndio utanifaa mpenzi.
Ila napenda kujua Asset zako
Mi sina asset za kutisha mpenzi.
Nina vinyumba viwili Mbweni na kamoja ka goroga tatu hapo Samaki Samaki.
Nina viboti vitatu vya uvuvi vipo mwaloni Mwanza na tugari tutano Prado 2, Nissan hardbord 2 na kahama nnakokatumia mimi.
Haka kahekopta wanakotumia hawa jamaa wa pipo pawa pia nimewakodishia mimi. Vijiasset vingine ni vya kawaida tu mpenzi!!
Shwari sana mpenzi Madame B. Sifai juu yako.
mi nakupenda hadi Baba V anakuonea gere.