Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 16,563 Reaction score 42,960 Jun 6, 2020 Thread starter #21 billdrago said: Wanaweza wakapafunika samaki spot? Click to expand... Nimeambiwa samaki2 ishafunikwa kwasababu samaki pana changamoto ya usafiri tofauti na star park
billdrago said: Wanaweza wakapafunika samaki spot? Click to expand... Nimeambiwa samaki2 ishafunikwa kwasababu samaki pana changamoto ya usafiri tofauti na star park
Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,958 Reaction score 70,720 Jun 6, 2020 #22 Nchi Kavu said: Dah! Msamvu pa hovyo kweli Click to expand... Sure
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 16,563 Reaction score 42,960 Jun 6, 2020 Thread starter #23 mzabzab said: Ipo msamvu mitaa gani nami nitie timu nicheki warembo wa chuo Click to expand... Ukifika msamvu terminal pub unanyosha moja kwa moja utaiona tu au ukiwa msamvu ulizia yoyote atakuonyesha mkuu.
mzabzab said: Ipo msamvu mitaa gani nami nitie timu nicheki warembo wa chuo Click to expand... Ukifika msamvu terminal pub unanyosha moja kwa moja utaiona tu au ukiwa msamvu ulizia yoyote atakuonyesha mkuu.
Fortnox JF-Expert Member Joined Jul 23, 2019 Posts 3,227 Reaction score 11,437 Jun 6, 2020 #24 Wangari Maathai said: Samaki imekufa Click to expand... Aisee kweli kitabu za zama zake ila yule dada alijenge na gorofa pale last time
Wangari Maathai said: Samaki imekufa Click to expand... Aisee kweli kitabu za zama zake ila yule dada alijenge na gorofa pale last time
Fortnox JF-Expert Member Joined Jul 23, 2019 Posts 3,227 Reaction score 11,437 Jun 6, 2020 #25 superbug said: Ukifika msamvu terminal pub unanyosha moja kwa moja utaiona tu au ukiwa msamvu ulizia yoyote atakuonyesha mkuu. Click to expand... Pana parking ya kutosha kama samaki na wale wajasiliamali?
superbug said: Ukifika msamvu terminal pub unanyosha moja kwa moja utaiona tu au ukiwa msamvu ulizia yoyote atakuonyesha mkuu. Click to expand... Pana parking ya kutosha kama samaki na wale wajasiliamali?
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 16,563 Reaction score 42,960 Jun 6, 2020 Thread starter #26 Wangari Maathai said: Sure Click to expand... Mi nimeingia Leo pana mabadiliko hususan gorofa jipya la shabiby.
Wangari Maathai said: Sure Click to expand... Mi nimeingia Leo pana mabadiliko hususan gorofa jipya la shabiby.
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 16,563 Reaction score 42,960 Jun 6, 2020 Thread starter #27 billdrago said: Pana parking ya kutosha kama samaki na wale wajasiliamali? Click to expand... Parking sio kubwa unazunguka mpaka barabara zinazoizunguka Star park ila Kuna walinzi mi nimetoa buku tu ulinzi upo.
billdrago said: Pana parking ya kutosha kama samaki na wale wajasiliamali? Click to expand... Parking sio kubwa unazunguka mpaka barabara zinazoizunguka Star park ila Kuna walinzi mi nimetoa buku tu ulinzi upo.
Kichwamoto JF-Expert Member Joined Jan 21, 2019 Posts 3,401 Reaction score 4,707 Jun 6, 2020 #28 Ni swala la muda kabla samaki hajaja kivingine kesho napita hapo nikitokea Iringa....Dodoma moja then Dsm
Ni swala la muda kabla samaki hajaja kivingine kesho napita hapo nikitokea Iringa....Dodoma moja then Dsm
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 122,392 Reaction score 201,547 Jun 27, 2020 #29 Bata batani
Kurunzi Platinum Member Joined Jul 31, 2009 Posts 10,197 Reaction score 11,628 Sep 30, 2024 #30 Nipo hapa, utulivu mkubwa, mziki ni request Safi kabisa, naona totoz zina bia zao za kuzuga ....naziangalia kwa makini kabisa ipi itanifaa usiku wa leo..
Nipo hapa, utulivu mkubwa, mziki ni request Safi kabisa, naona totoz zina bia zao za kuzuga ....naziangalia kwa makini kabisa ipi itanifaa usiku wa leo..