Hata hivo baridi hainisumbui coz baridi niliyokumbana nayo wiki zilizopita pale home mbeya ni hatari sn.
Pako poa Singida,jana nilipita sehemu moja inaitwa Serengeti ktkt ya mji daaa palipendeza sn.
Ewaaaaaah ndio hapohapo.. sasa kesho mwambie mwenyeji wako akusindikize ukanunue samaki wa bwawani (kindai au singidani)..ukaange uwaonje aaisee ni watamu balaa... huu uzi ungeuleta jana ningekushauri leo jumamosi uende mnadani (kisaki..mtamaa au njia ya arusha) ukataune nyama hadi uzitazame..mbuzi ubavu mzima elf16 toptop.. kama utafika jmosi ijayo fanya uende mnada mmoja wapo