Nipo njiapanda

Nipo njiapanda

Ha ha ha ha kumbe u mtaalamu wa kufungua vizibo!Sasa mkuu si urudi tu kwa yule wa zamani maana huyu wa sasa tayari ana mwenza na ukizidi kung'ang'ania ndio utakavyozidi kupoteza dira ya maisha yako na mapenzi yako maana inawezekana kabisa ukawa spea tairi kwa huyo mwanamke kama akikubali mrudiane.
Wakati mwingine kaka mrudie Mungu tu uepushe majanga.
Nashukuru kwa ushauri wako kaka! Nitajitahidi kukomaa kuufuata, japo nina wasiwasi kama nitaweza kuresist akinichokoza!
 
Back
Top Bottom