Nipo njiapanda

Nipo njiapanda

khaaaa nimeishia nusu ngoja nikale nije kumalizia
 
hapo ndo uangalie sasa kati ya kupenda sana na commitment...kipi?
 
Wewe unataka kumuoa au unataka nini? Acha kujidanganya na hisia zisizokuwa na maana yoyote, Achana na mapenzi ya kwenye tamthilia this is real
 
Hivi mtu ukimpenda ni lazima kumuoa? Haiwezekani mtu ukampenda lakini mkawa hamwendani katika kuoana na wote mkaendelea na uhusiano huku mkilitambua hilo?!
 
Unaweza lakini malengo hubadilika kwa kutegemea upande mwingine. Huyo mwarabu ameshakuambia kuwa amepata mchumba wa kumuoa sasa wewe unataka nini? hapo ujue tayari yeye malengo yake yameshabadilika kwa hiyo haongozwi na hisia za mapenzi kwako bali anaangalia lengo la kumpata huyo mchumba mwingine
 
But tangu tunaanza uhusiano mwanzoni huyo mchumba wa mwarabu alikuwepo na mwarabu alilitambua hilo!!!
 
Ndio maana nimekuambia malengo yamebadilika mwarabu anataka kuolewa utaumia bure, nyinyi ndio wanaume wanaojinyonga kwa kupelekeshwa na hisia za mapenzi bila kuangalia reality
 
ww ndo umepigwa chini kwa style iyo ....fanya yako mjomba.
 
Inaonekana ulikuwa hujawahi kufungua mlango hapo kabla,kwa sasa unachojisikia ni ashki tu wala si mapenzi maana baada ya kufungua mlango mashine bado ni mpya hivyo kila kitu kipo katika uhalisia wake ndio maana unadhani unamfeel huyo mrembo wako.
Hebu rudi njia kuu kwa kumrudia mwenza wako na muendelee na maisha yenu maana hapo unapopataka pana mtu mwingine hivyo usipoteze muda kwa ajili yake.
 
Kaka hii ni bikira kama ya tatu hivi kuitoa, so the issue siyo upya wa machine! Ninajihisi tofauti mpaka muda mwingine sijielewi, that's why I want her back!
 
Toto limcharuko hili!... lazima litakuwa under 20
 
Kaka hii ni bikira kama ya tatu hivi kuitoa, so the issue siyo upya wa machine! Ninajihisi tofauti mpaka muda mwingine sijielewi, that's why I want her back!
Ha ha ha ha kumbe u mtaalamu wa kufungua vizibo!Sasa mkuu si urudi tu kwa yule wa zamani maana huyu wa sasa tayari ana mwenza na ukizidi kung'ang'ania ndio utakavyozidi kupoteza dira ya maisha yako na mapenzi yako maana inawezekana kabisa ukawa spea tairi kwa huyo mwanamke kama akikubali mrudiane.
Wakati mwingine kaka mrudie Mungu tu uepushe majanga.
 
Back
Top Bottom