Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Mchana wako muruwa... Umepotelea wapi Kiongozi maarufu wa Umma wote wa TZ !! Ajaabu hujaupenda ushauri huo...!!huu ndo ushaur wako?? mh mh mh!!!
Mchana wako muruwa... Umepotelea wapi Kiongozi maarufu wa Umma wote wa TZ !! Ajaabu hujaupenda ushauri huo...!!huu ndo ushaur wako?? mh mh mh!!!
kaka oa yule uliemkusudia acha kumharibu na kumhadaa dada wa watu bana unatia hasira kweli wewe
we jinga kweli kama hataki unafikiri sisi tutafanyaje unataka tukubembelezee ?
Ni ngumu mno kwa sasa, mpaka nahisi nimetengenezwa!!!!
Dkaka oa yule uliemkusudia acha kumharibu na kumhadaa dada wa watu bana unatia hasira kweli wewe
Hauwezi kujua,nature will decide!
Tumia mbinu ulizotumia kumpata mara ya kwanza.
Lakini mkuu siumesema unatarajia kuoa mwakan,sasa huyo mwarabu wa nini tena??
Mchana wako muruwa... Umepotelea wapi Kiongozi maarufu wa Umma wote wa TZ !! Ajaabu hujaupenda ushauri huo...!!
Wee potezea !! tafuta wengine.. wanawake wazuri bado wapo !! Na uache kuharibu mabinty za watu!!
Ila mkuu si umesema una mtu wako? Ni bora uachane nae ili uwe na muda mwingi zaidi na huyo mtu wako utazidi kujiongezea point kwa huyo mtu wako ambaye uko committed kwake. goodluck
Dada mapenzi hayana logic, ni hisia zenye nguvu sana ukipenda vilivyo! Kuzidhibiti ni maumivu. Tena nikiona hiyo avatar yako inafanya nimmiss zaidi!!!
Akulinde rabi, Mkono kwa mkono mie ndo kbs !!ahahahaha sijambo miss yah sanaaaaa
Ni kweli wanawake wazuri wapo, lakini kwa jinsi navyomfeel huyu motto kwa sasa imefanya mwili uwe na ganzi kwa warembo wengine.