KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,759
- 39,493
Kumbe hii story ni ya tangu mwaka juzi......lakini watu bado wana mzuka wa kuchangia tu....kweli JF ni noma kwa viporo.....
ninamtoto wa miez mitatu niliezaa nae aliniambia nitoe nikakataa basi tukawa tumekosana alinifanyia visa vingi nilikua nyumban nimejingua nikamjulisha aliuliza jinsia tu hakuendelea na mawasiliano kimya mpaka sasa....
kilichonifanya nije hapa
kuna kaka alikua anamke hawakufunga amezaa nae mtoto mmoja akampeleka chuo huko akazaa tena na mwanaume mwingine wakawa wameachana huyo kijana akamchukua mtoto wake... sasa kaja anataka kunioa mi nimemwambia siwez mtoto wangu bado mdogo anavyodai kanipenda kweli mtoto wake anateseka alipo ni kwa mama wake wa kambo na huyo kijana so anataka tuishi pamoja...
upande wangu sasa
1) cjui kwann bado nampenda sana baba mtoto nasubiria muujiza wa mungu labda atarudi na tutaishi pamoja kwani sipendi kuzaa watoto baba tofauti basi tu ishatokea
2) nitamwaminije kama yupo serious??? isije ikawa ndo yale tale tena maana anadai tuishi pamoja wakati anafanya mipango ya ndoa
3) nahisi mtoto bado mdogo angalau angekua anamwaka.. sijui niamue nn kwa sasa naombeni tu mnisaidie mawazo nifanye nini ndugu zanguni?
ucjute khantwe mi ni kwel hata kuna uzi nilianzisha haba siku 2 kabla cjajifungua kuwa sijui nimjulishe?
una umri gani,,je ulishawahi kuolewa??
..tunataka kuondoa utata..nijibu maswali yangu..
hapana ila baba mtoto wangu ilifanya process zote ilibak ndoa tu ndo nikapata ujauzito tukaanzia hapo migogoro
naombeni msaada wa haraka sindano za uzazi wa mpango zimeniharibu nikiwa nafanya mapenzi natoka maji mengi sana hata nikiwa naandaliwa kwa ajil ya tendo!!! Hali ambayo sikua nayo kabla nifanyeje? Naombeni msaada wa tiba maana mme wangu hataki kunielewa kabisa istoshe hatuna hata miezi tumeoana na nilichoma before kumfaham asanten
nimeshakujibu cjawah kuolewa... ila my x ilibaki ndoa tu nikapata ujauziti akaniambia nitoe ili mambo yetu yaende sawa sababu alikua anaogopa kutengwa kanisani tukifunga ndoa na ujauzito... ilibidi aache nikaenda kwake kigum alininyanyasa sana nikaondoka.
Mmmh najuta muda nliopoteza kutype hapa
unaweza kunifafanulia hapo kwenye nyekundu..
niambie na umri wako tafadhali hata kwa range....
sasa tyta mtu mpaka mahali ametoa sio kama mume? kumbuka ilibaki ndoa tu lakini kilakitu kilikua tayar means hadi utambulisho na hapo juu nimeeleza niiliishi kwake alinifanyia visa nikaondoka nikiwa mjamzito. umeelewa
naombeni msaada wa haraka sindano za uzazi wa mpango zimeniharibu nikiwa nafanya mapenzi natoka maji mengi sana hata nikiwa naandaliwa kwa ajil ya tendo!!! Hali ambayo sikua nayo kabla nifanyeje? Naombeni msaada wa tiba maana mme wangu hataki kunielewa kabisa istoshe hatuna hata miezi tumeoana na nilichoma before kumfaham asanten
hehehe Tyta ww ni noma sana mpaka aseme ukwelinifafanulie post no 27...na sema una umri gani...
Iv dunia hii ya sasa kuna miujiza mikubwa namna hio????
hehehe Tyta ww ni noma sana mpaka aseme ukweli
kipengele cha umri kimemshinda kabisa maana kitafichua mengi....
wanasema ukiwa muongo uwe na kumbukumbu
..na ukiwa na historia ya uongo huaminiki..