Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
hivi kufunga ndoa ni nini hasa?
mwanaume kukamilisha taratibu za mahali au mpaka mambo ya kanisani na ukumbini?
kama ni hayo ya kanisani na ukumbini utamkosesha mume mwenzio.
vijana siku hizi hatuoi sababu ya gharama za harusi.
harusi siku hizi imegeuka sehemu ya kutiana umaskini na kutajirisha wengine.
Hakuna mtu ameongelea harusi hapa mkuu usitake kunilisha maneno. Kuuna ndoa za aina nyingi....nizijuazo mimi ni ndoa za kimila,kidini na zile za serikalini....yoyote atakayotumia yeye mradi iwe ni NDOA