Nipo njiapanda

Nipo njiapanda

Sehemu ninapo muona Tyta huwa najisogeza vizuri. Hongera zako mkuu
 
Last edited by a moderator:
Kweli umakini unahitajika unapoleta mada hapa.
 
Hongera sana kwa kuwa na bahati ya mtende. Kwa maelezo yako huyo Kaka anataka kukuoa, kwa lugha lahisi yupo tayari kufuata taratibu ili uwe "mama watoto wake". Nadhani jipe muda wa kumchunguza na kujihakikishia unaenda sehemu salama. Unavigezo vyako ktk kumkubali au kumkataa mtu, kikubwa kumbuka hutafuti Shekh au askofu. Kila la kheri na umetupa "kisa mkasa" cha kutufumbua kuwa kuzaa bila kuolewa sio mlango wa kuziba "kuolewa".
 
unaweza kunifafanulia hapo kwenye nyekundu..

niambie na umri wako tafadhali hata kwa range....

Hahahahaaaaaaa! Najuta kukufahamu! Nakuaminia si kidogo. I WONDER WHY YOU NEVER CATCH ME!😛oa. Either i never lie, or i am a good lier i remember the details or you are just waiting to bust me in the BIGGEST lie in History Uuuuuuuuuu it give me goose bumps, or you just like me (Of which will be the story of the gods! Lol!)
 
Huwa nasema siku zote kuwa mwanaume au mwanamke siyo mungu kwamba usipokuwa naye hutaishi.
 
kwa kweli ukisubiria muujiza wa huyo aliekana mimba aje tena ni uongo angalia moyo wako ulipoelekea maana mwisho wa siku ni maish yako yapo mikonon mwako. hata siku moja huwez kujua utam wa ngoma kwa kuangalia na macho lazima uingie ucheze mwenyewe.

"Angalia moyo wako
ulipoelekea" maneno hayo. Moyo wake umeelekea kwa bwana MAUDHI. Angekuwa ni dadangu, kuanzia sasa tuishi kama hatufahamiani na sitaki mawasiliano naye. MMEBARIKIWA KUVUMILIA MAUMIVU EEH...musubiri uliyezaa naye, huo ndo MUUJIZA, kesha na kuomba.
 
usikubali kuhamia kwa mwanaume kabla ya ndoa jipe value anakupenda afate procedure uwe wake halali

Me huruma kwa maimatha imenizidi mpaka namuogopa. Ndio maana nimesema vile pale awali. ILA NI VEMA UCIKUBALI CALL INGINE...mpaka hapo utapopata uhakika kwamba moyo wako uko radhi. Naogopa ukisaini kwa huyo new guy, hata kama mtafunga ndoa, alafu akatokea uyo bwana ulozaa naye, UJE KUSEMA MUUJIZA UMEKUTOKEA. Naogopa sana hilo. Subiri pale moyo utasema sasa nataka olewa/mume ndo ufanye mahusiano/ndoa.
 
Mkuu moyo nao unasema???
 
Miujiza gani tinna

Miujiza ya mwanaume aliekataa mimba na kusema itolewe,, binti kujifungua me hana habari anauliza jinsia tu na,mawasiliano hakuna!!!!!!!!!!
Unategemea mume type hio atokewe na miujiza ya kuoa tena?????? au ndo amrudie ampe mimba nyngne asepe........
Tina akili zangu nazijua mwenyewe upumbavu wa miujiza ya shetani unipite tu..
 
Hahahahaaaaaaa! Najuta kukufahamu! Nakuaminia si kidogo. I WONDER WHY YOU NEVER CATCH ME!😛oa. Either i never lie, or i am a good lier i remember the details or you are just waiting to bust me in the BIGGEST lie in History Uuuuuuuuuu it give me goose bumps, or you just like me (Of which will be the story of the gods! Lol!)

a lie impacts you as much as those you lie to,especially when you end up living it.come clean and face the consequences to regain control of your habit.I hope you havent been in the territory of lies without a passport of return!!heheh..you need to quit that even though you got some ''good'' lies that has leavening of truth and make them palatable.
 
You just can't accept the fact that I might not be a lier after all.
 
Back
Top Bottom