Nipo njiapanda, msaada wenu wanaJF

asante ndugu yangu kwa mawazo yako
 
Gari ulinunua ili uendee wapi ikiwa kazi ilishaisha au kutembea ndugu.

We need to create channels first then to buy motorcar for reaching those channel Fred Vunjabei, Diamond, MO wanahitaji gari.
amesema matamanio tu ualimkuta ya vijana
 
Mkuu ni ujana tuu, ndio maana nikaelezea sana hapo juu, sitaki kuanza kujutia kwa maamuzi nilio chukua ila ndio imetokea tayari inatakiwa nitoke hapa nilipo nisogee mbele zaidi kwa kutatua tatizo
Uza gari upate more than 1000 options of Business.

Usiuze uendelee kujifunga kwenye kifungo cha Uber as only Business.
 
nikiri kabisa ukweli wa mungu sijawai kufanya iyo research
Mkuu jitahidi kua friendly na mazingira,

Mfano kama hapo kwenu hakuna saluni fungua, mashine za kusaga fungua, mambo ambayo watu wanayadharau ndio
yanayoingiza pesa.

😷 😷 😷 😷 😷 😷 😷 😷 😷
 
Tafuta location nzur anza choma chipx hyo gar piga bei tu
 
Mkuu jitahidi kua friendly na mazingira,

Mfano kama hapo kwenu hakuna saluni fungua, mashine za kusaga fungua, mambo ambayo watu wanayadharau ndio
yanayoingiza pesa.

😷 😷 😷 😷 😷 😷 😷 😷 😷
asante sana ndugu yangu kwa mawazo yako, ubarikiwe sana
 
Anza kufanyia kazi hiyo gari iweke iwe uber ila usimpe dereva fanya mwenyewe,jiwekee malengo kila siku laZima ulaze kias flan cha pesa,hautajuta ktk hilo
 
Anza kufanyia kazi hiyo gari iweke iwe uber ila usimpe dereva fanya mwenyewe,jiwekee malengo kila siku laZima ulaze kias flan cha pesa,hautajuta ktk hilo
asante sana, ubarikiwe mkuu
 
Mzee una milioni halafu unaiona si mali kitu!
mkuu, nipe mawazo kwa asset zote nilizo nazo natokaje hapa nilipo ili nifanikiwe mkuu, japo kwa mwezi niwe na uhakika wa laki 7, 8, 9 au zaidi
 
Ingiza gari uber&Bolt halafu endesha mwenyewe hela utaiona.
 
Kwa ushauri mnaotoa humu Jf ndo maana sijawahi juta kuja humu.
Najua mtoa post atatafuta ushauri konki zaidi.
Big up kwenu.
 
Vijana wengi tukipata pesa tunakimbioia kujenga kama tunalala nje vile,, Baada ya kufungua miladi inayoingiza unafanya kutoa,,,

Dah uza tu icho kigari kisha utulize akili na uanze tena ki utu uzima
 
Vijana wengi tukipata pesa tunakimbioia kujenga kama tunalala nje vile,, Baada ya kufungua miladi inayoingiza unafanya kutoa,,,

Dah uza tu icho kigari kisha utulize akili na uanze tena ki utu uzima
ndio uwa vijana tunawaza ivyo mkuu, ndio maana kuna muda tunaona tumekosea tunarudi nyuma na kuomba mawazo ya watu walio na experience na kadhia ya namna kama hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…