Nipo njia panda

Nipo njia panda

Ww vipi? Hii stor si ameileta magode hapa?
Hebu magode unasemaje
 
Last edited by a moderator:
Mwambie mkeo ameamua kurudi nyumbani ili aendelee kulea watoto wake coz hataki watoto wake walelewe na mwanamke mwingine, na pia umeshindwa kulipinga hilo kwa faida ya watoto hivyo mumeamua kuganga yajayo.
Mwambie pia bado unampenda sana hivyo kama dini inaruhusu umuongeze awe wa pili.....na kama hairuhusu basi muombe muendelee kugegedana mpaka atapopata mume na aheshimu sana uwepo wa mkeo.
Manake ipo siku mkeo atakufuma tu unasoma sms huku unatabasamu...atakupora cm atasoma sms na kitakachofuata ni mazungumzo baada ya manundu.
 
Aisee copy and paste... Izi story muwe wakweli mseme mnapozitoa
 
Mtafute Ali Yakuti au Bishop Hiluka unaonekana una kipaji cha utunzi,watafute hao watu wakupe elimu ya kuandaa script utakuja kuwa noma baadae maana kipaji cha utunzi unacho.
 
Last edited by a moderator:
Kwa alivo na mishituko ya ghafla, kuna siku lodge utaiona kama bahari, hautapata pa kukimbilia akidanchi
 
Unapenda used siyo...

Kwani wewe hupendi, tatizo mimi nitakuwa najua wewe ndo umetumia kabla yangu, lakin hata wewe ulikuta walishatumia (used) japo mtumiaji haumfahamu.

Kipya kinyemi....ingawa ni kidonda.. Ganda la muwa la jana..sisimizi alinijivunia na kuona amevuna
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom