Nipo njia panda

Nipo njia panda

Dah! Nmesoma ule mrejesho. Ila kuna bom unalitengeneza likija kulipuka madhara yake yatakuwa makubwa sana''

bora uachane na huyo mwanamke, ataisababisha nyumba yako iwe syria kama sio Bujumbura
 
Mimi ni hakimu mzuri nahukumu kuliko pilato ila kwa hili hakuna namna maana sie ni binadamu na rahisi kutema asali. Embu mwambie ticha ukweli najua atakuelewa na uendelee kumpenda na kumjari.
Hata walokore walianza kuchepuka na mwisho wakaokoka. Mungu akupe nguvu muendeleze mapenzi yenu. Mpende akupendae
 
Sasa hapo unataka ushauri gani wakati una mke na mna watoto au unataka tukushauri umuoe na huyo???
 
Mtu mzima kama na huyo analipa oa.... Kwanza ana kazi yake... Usihofu, chukua kitu roho inapenda!!!! :eek2:
 
naona upo kwenye hatua za mwisho za kuvunja ndoa yako.
Na ingekuwa vizuri kama huyo binti angekuwa na ka VVU kidogo kakufundishe adabu.
 
alikuwa na maana kuwa hajakatwa aka govinda
Eti nawe unajiita ni mtu mzima tena mwenye majukumu!? mtu mzima kweli uandike upuuzi huu?? Jf MMU wote wacheza singeli tupu!!
 
Wanajamvi salaam,

Ilikuwa ijumaa tar.16/10/2015. Nilikuwa naelekeakumuona mzee mmoja kiongozi wa jumuiyandogondogo huko kwangu nnakoishi maeneo yaMbagala.Nikiwa njiani kabla sijafika kwa mwenyekiti, nilionapochi ya kike, njia niliyokuwa napita,haikuwa nawatu wengi. Nilitaka niiache ile pochi,lakininikaamua kuichukua, bahati mimi pia nilikuwa na begi nikaitupia kwenye begi nikaendelea na safariyangu.

Nimefika kwa mwenyekiti nikaongea mamboyangu kisha nikarejea kwangu. Nilipomaliza kuoga nikaikumbuka ile pochi! Nikaifuata nikaje nayosebuleni nikaifungua,ndani nikakuta kuna simuandroid ya Kichina Tecno h6 na pesa taslimu yakiasi cha tsh.laki 4 na 700.

Pia kulikuwa nakaratasi ina majina ya watu na kiasi walichotoa nayote yalikuwa majina ya kike.Ile simu ilikuwa imezimwa,nikajaribu kuiwashahaikuwaka, nikajaribu kuiweka kwenye charge ikakubali nikaiwasha ikawaka kulikuwa na simcard2 tigo na airtel. Lkn zote zilikuwa hazisomi,yaani zilikuwa zimekufa! Zote ziliandika"sim registrationfailed".Kwenye call history kulikuwa kumepigwa pin,kwenye sms pin,phonebook pin..!

Ktk ilekaratasi yenye orodha ya majina juu ya hiyokaratasi kulikuwa na namba ya simu. Nikajaribukuipiga haikupatikana!Nikaizima ile simu nikaiondoa kwenye moto kishanikavirudisha vitu vyote pamoja na ile fedha. Kiukweli sikuwa hata na wazo la kutumia chochote ktk hivyo vitu nilivyookota. Nilitaka kufanya jitihadaya kumpata muhusika kwa wakati ili aendelee namipango yake.

Nilimsimulia mke wangu mkasamzima na dhamira yangu. Kichwani nikawanawaza,hivi ikiwa hii pochi mwenye nayoalivamiwa na kuawa kisha wauaji wakatowekaitakuaje!? Nikipeleka police napo bila shakamaafande watagawana tu hizo fedha!Niliendelea kuipigia ile namba niliyoikuta kwenyeile karatasi,haikuwa ikipatikana mpaka siku ya 3ndo nikaipata.!

Nikampigia akapokea mdadam wenye sauti nzuri sana, nikamsabahi kishaakaniambia samahani nilipoteza simu siku 2zilizopita nimerudisha namba leo,nanimwenzangu!? Nikamjibu,me pia nilikuwa nakupigia simu nijue wewe nani hii namba ipo kwenye simu yangu na nimeandika mrembo.!Huo ukawa mwanzo wa urafiki na huyobinti,tukawa tunachat kila wakati tunapopatawasaa!

Sikuwahi kumueleza chochote kuhusu ilepochi. Tuliendelea kuchat na kujikuta tunazoeanasana kwenye simu hadi tukaingia kwenyekutongozana.Me ni mtu mzma kiasi nna mke nawatoto lkn alivyoniuliza kuhusu mke nikamwambiasijaoa lkn nilimwambia niliwahi kuoa tukaachanalkn watoto ambao nilizaa na huyo mke nnao naishinao..!Yeye akaniambia ni mwalimu wa shule moja yasekondari mkoa mpwani. Nyumbani ni mbagala nakwamba hana mume.

Hapo tulikuwa hatujawahi kuonana na alinisimulia jinsi alivyopoteza pesa nasimu za kitchen party ya rafiki yake ikiwa nimichango ya waalimu wenzie. Na kwambaalilazimika kukopa ili akapeleke zile pesa kwasababu kitchen party ilikuwa siku inayofuata.Pamoja na kunieleza hayo, sikumwambia kamamimi ndo niliikota,nilitaka nimuone kwanza.

Baada ya kuzoeana sana,hatimae siku moja akaja ofisinikwangu nnapofanyia shughuli zangu za tigopesa.Dah..! Dem alikuwa mrembo hatari! Tuliongeamachache pale ofisini lkn pale wateja ni wengiikabidi nimuite kijana wangu aje akae sisi tukatokakwa ajili ya lunch na story.Hii ilikuwa mwezi november tar.21.

Tuliendakwenye mgahawa mmoja wa wapemba paleTandika tukapata lunch,tukapiga story za kutoshana nilipomuomba tutafute sehemu tupumzikehakuwa na shida. Nikaenda kusaka lodge kishanikamfuata,tukafanya yetu mpaka saa 1 jioni.

Kwavile mbagala kunakuwa na foleni sana,nikaamuanimchukulie bodaboda tukaachana me nikarudiofisini.! Tukawa tumeanza ukurasa mpya wauhusiano wa kimapenzi.

Mpaka hapo sikuwahikumwambia kuhusu ile pochi yake ingawaniliitunza vilevile ikiwa na hela zake pamoja nasimu.Tumeendelea kuwa wapenzi kila anapokujadar,lazima aje anione kwanza mzee wake. Mpakahapo hajui km nimeoa. Tar.10/12/2015.

Siku ya Alhamis alirudi likizo rasmi. Alifika mapema tu,hiindo siku nilipanga kumpa pochi yake.! Yeyealitangulia lodge,baadae nami nikamfuata. Baada ya kufanya yetu na story za hapa na pale,katikatiya furaha yetu nikanyanyuka na kuitoa ile pochikisha nikamkabidhi..!

Alistuka sana na furaha yote aliyokuwa nayo ikatoweka akabaki ananikodoleamacho kumbe alikuwa amezimia! Nikamlazakitandani, baada ya km dakika 8 akainuka. Alikuwa ameshaingiwa na hofu hakuamini km me nibinadamu alijua ni jini.Niliigundua ile hali nikamwambia atulie nimwelezenilikoitoa. Nikamsimulia mwanzo mpaka mwisho..!Akawa amenielewa lakini akawa anahoji sana juuya uaminifu wangu. Kwanini niwe mwaminifu hivyokwake!

Nikamwambia si kwake tu haya ndo maishatunayopaswa kuishi binadamu wote.Baada ya tukiolile,binti hasikii lolote kuhusu mimi,ameshatangazandoa anataka nimuoe.! Kwa sasa mpaka imekuwa kero,sina furaha nikirudinyumbani kwangu,binti anapiga simu za mahabakila wakati.

Mke wangu akigundua sijui itakuaje!Najiuliza nikimwambia ukweli huyu teacherataukubali!!? Ameonyesha imani ya juu sanakwangu,itakuaje nikimwambia ukweli huu utakaomuumiza? Lakini lingine nilipenda niwe nae kama mchepuko kwasababu ameonekana binti anayejitambua. Nikimwambia ukweli atakubalikuwa mchepuko.!?

Naomba mchango wa mawazo, kwa wale wanaopenda kuhukumu, karibuni pia mtoe hukumuzenu.
 
Dah...!?we mkali wa story ila kama ya kweli hayo mwambie kila kitu we mwanaume bwana kisha yy aamue kusuka au kunyoa
 
Bint anae jitambua awez kuonana na mwanaume kwa mara ya kwanza na kukubali kulala nae, futa iyo kauli "anaonekana n bint anaejtambua"
 
Nipe namba yake ya simu ili nimweleze, ukimwambia wewe atakufa kisha utakosa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom