Mtafutie dawa mpe kijanja....!Thanks mkuu...ila nimejaribu sana kumshauri juu ya hili amegoma katu.
Mtafutie dawa mpe kijanja....!Thanks mkuu...ila nimejaribu sana kumshauri juu ya hili amegoma katu.
hamna shida we uo tuKunaniliu si kazi ya muda mfupi tu baadabya hapo kila mtu kwao.shida ni kuwaweka wote wawili ndani.
Sasa mbona ameshare tayariShida ipo kwa huyu wa kwanza hataki kushare.
zipo dawa za maleria, hata za minyoo zinatoa mimba..!Ni mjanja mjanja anaweza kuhoji dawa niya nini nataka kumpa.
Ni kweli ila huyu mwingine amesema yupo tayari kuwa second wife kitu ambacho huyu wa kwanza hataki kusikia habari ya kushare mume.
Sasa kwa ajili hiyo uko radhi huyo binti atoe mimba. Ili kuepusha hiyo dhahama au?
Kaa chini tafakari kabla hujachukua maamuzi ambayo yatakutesa huko mbele.
Tafakari chukua hatua
Huu ushauri mwambie mtoa madaAlikutishia tu kujiua hawezi! Hata akijiua kwani atakua wa kwanza kujiua duniani?
sa akishajiua ataonaje?Jiue mwenyewe Na sumu uwaache wote halafu uone nini kitatokea
Sawa mkuu.ila kitendo cha kufunga nao ndoa wote wawili kwa siri si ndo balaa baadae?Kwanza tubia kwa Mola wako na utengeneze ulipo paharibu yaani ni kuwaoa wote hao mabinti. Kumbuka kutoa mimba ni uuwaji vile vile.ushauri usimwambie huyo wa kwanza ila funga nao ndoa na usirudie zinaa ujutie ulo yatenda
Kweli hilo ni janga umechuma. Mweleze tu mwenzio ukweli huyo wa pili kwamba we unamke tayari.Tulipanga kuoana hadi kwa wazazi tulitambulishana.