Nyie ndio mlikuwa manafeli mkiambia muweke vichwa vya habari kwenye Hadithi za Somo la Kiswahili....Muulize mwandishi kwa nini alitaja muda kwenye makala yake? Members wanatumia muda kama ku-cross check ukweli wa kilichoandikwa.
Hilo basi lililala njiani?maana hakuna basi linalotaka Dar na kuingia muda huo Mwanza.Ni lazima kulala Nzega au Shy.
Huu uongo wa hali ya juu kabisa.Hamna basi la dar linalofika mwanza saa 1 usiku mkuu hapo umetudanganya
Kama unaishangaa mwanza kuwa jiji siku ukifika mbeya itakuwaje?
Anaficha siri tu huyu,amepanda ungo wa bibi yakeHilo basi lililala njiani?maana hakuna basi linalotaka Dar na kuingia muda huo Mwanza.Ni lazima kulala Nzega au Shy.
Best line nayo iko vizuri saa tano mpk sita usiku hakuna kulala njianiKama hujui mabasi yanayo toboa ni bora ukae kimya si unaandika tu unavyo jisikia. Nitakuandikia hapa baadhi ya mabasi yanayo toboa kutoka Dar na kufika Mwanza siku hiyo hiyo. Nayo ni Kibo, Kisbo, Zube, Zuberi n.k.
Hapo itakuwa ni saa 7 na dk 23 uckuHamna basi la dar linalofika mwanza saa 1 usiku mkuu hapo umetudanganya
Yaan hapa ni kutaka kumuonyesha kuwa anaposema uongo akumbuke kupanga data vizuri!Watanzania Tuna matatizo ... Mada ni JIJI au Muda ?
Itakuwa aliishia kwenda LucheleleToka porini huko njoo maeneo ya airport road huku ufike hata Diamond pub au Villa Park uione Mwanza.
Watu wqnatafuta uongo wakeWatanzania Tuna matatizo ... Mada ni JIJI au Muda ?
Alivyoanza kudanganya kawatia watu Mashaka.Watanzania Tuna matatizo ... Mada ni JIJI au Muda ?
Sio SAA Moja lakini. SAA sita.Kama hujui mabasi yanayo toboa ni bora ukae kimya si unaandika tu unavyo jisikia. Nitakuandikia hapa baadhi ya mabasi yanayo toboa kutoka Dar na kufika Mwanza siku hiyo hiyo. Nayo ni Kibo, Kisbo, Zube, Zuberi n.k.