1. Ulikuwa unampa hela au ulikuwa umekalia kumjulia hali tu asubuhi na jioni?
2. Ulikuwa tayari ushamla?
3. Pengine amekinaishwa na uandishi wako huu:
apokei = hapokei
ajibu = hajibu
anijibu = hanijibu
uyu = huyu
akadah = akadai
ili = hili
Hata kama wewe ni Mhaya au Mkerewe, jibidishe sana utambue matumizi sahihi ya irabu za Kiswahili na h- ambayo ni kikanushi katika Kiswahili na unapoiondoa wakati mwingine unapoteza maana kabisa. Pengine binti wa watu ulikuwa unamchanganya na maujumbe yasiyoeleweka...

