Augustine Moshi said:Labda JK alikuwa anazungumza kwa faragha na huyo dada, wakapanga waonane tena mwezi ujao. Kama atatumia fedha zake kumfuata, kuna mbaya gani? Au ulitaka akae ofisini afanye kazi? Hana mazoea hayo. You can't teach an old dog new habits.
Na huo mwezi ujao unaozungumzia una maana kesho? Maana leo ni tarehe 29 eti! Kwa vyovyote vile, huenda sio kweli kwani huyu Bwana yuko kwenye Mfungo Mtukufu
Augustine Moshi
mTz said:WaTz tunachekesha, yaani JK anaweza akafuta engagement ya muhimu namna hiyo? kwani safari haikupangwa kabla ya kuondoka? kuna mtu mmoja aliniambia to succeed "plan your work and then work your plan". Sasa kama ni kweli Bill Gates alishaonyesha interest ya bankroll ujenzi wa chuo kikuu Dodoma, can he really be neglected kwa kukosa muda, to that defies simple common sense!