milionea wa kesho
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 328
- 631
Nipo kwenye daladala nimekaa siti moja na demu mmoja mkali ananunikia vizuri. toto jeupe lina chura mkubwa. sasa wakati anakuja kukaa top aliyovaa ilipanda juu kidogo nikaona shanga kiunoni za gold. Anatumia Iphone x. bado sijamwongelesha jamani sijui nianzie wapi. Hili suala la kuanzisha conversation naona bado gumu kwangu.
uzi tayari
Sent using Jamii Forums mobile app
uzi tayari
Sent using Jamii Forums mobile app