MankaM
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 9,448
- 3,071
Hapo nimekusoama mkuu... sasa kama ubongo ndio unakufikilisha namna unavyofikili naamini hata kukupangia namna ya kutekeleza kile unchowaza inawezekana pia...hivyo nadhani ndio tunapata ule wa msemo wa kitaa"Important but not necessary VS Necessary but not important" katika ku prioritize mambo au wasemaje mkuu MankaM?
Sure mkuu ila kwa nilivyomuelewa mimi ndio hivyo
Last edited by a moderator: