Nipo kinyume na utashi wangu,kwanini?

Nipo kinyume na utashi wangu,kwanini?

Hapo sasa, mchagga na mhaya wote tunaijua hela, give me 10% so that I can be encouraged to bring as Many customer as I can

if i give u much money that means utaridhika na kuzembea kazi naanza na 5% alafu the more customer the much money
 
if i give u much money that means utaridhika na kuzembea kazi naanza na 5% alafu the more customer the much money

I got u chagga girl, u charge them $100, I charge them $150...$50 is mine+5% of 100=$55. Still haya is breve than chagga!
 
I got u chagga girl, u charge them $100, I charge them $150...$50 is mine+5% of 100=$55. Still haya is breve than chagga!

i will be stupid aiseeee .. i use my energy , and then u make more than me no way out
 
Habari zenu wadau.natumai hamjambo.

Hivi ni kwanini inatokea unajikuta mtu uko against your mind,unapingana na akili yako kivitendo,labda una mpango kwamba once ukipata nafasi umu aproach msichana fulani halafu inakutoka kabisa.

Msichana labda ushampa swaggz kwamba una shida nae,halafu anakuja kukuona huna mpango nae tena,hata nisipokuwa care vya kutosha najikuta hata girlfriend nilienae nampuuza,ni ubize wangu au? naombeni msaada najua nipo na great thinkers.

Jini mahaba huyo anakusumbua!
 
kwa sababu HUJIAMINI KWA KILE UNACHOKIFANYA..... unanegative thought kwa kila unalofikiri unahitaji ... kama ni mahusiano unahisi nitaachwa au malaya... jambo amabalo si jema na halina mashiko... kujiamini ni fimbo ya kupiga kila kitu duniani...
hapo umenena mkuu miss chagga.... jamaa aache kujishtukia mara kwa mara.
 
Last edited by a moderator:
ni kwa wanawake tu? au na kwenye pesa? kwamba yani mtu umemkopesha afu roho inakataa kumdai.....!!!

mkuu belie pesa ni pointi nyingine kabisa ...hiyo haina msamaha mahalapopote hapa duniani , hata niwe chicha / tila lila lazima unilipe tu deni langu.
 
Back
Top Bottom