KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,769
- 39,536
Bado unamchanganya si unaona hata alivyokuja.........afadhali umerudi aisee loh utashi unasemaje sasa?
Bado unamchanganya si unaona hata alivyokuja.........afadhali umerudi aisee loh utashi unasemaje sasa?
Anza kunywa viroba kumi kwa siku ili ujijengee self confidence..na ukakamavu......
Kama vp piga nyeto 2
Bado unamchanganya si unaona hata alivyokuja.........
Kiaje?? mkuu MankaM fafanua plz.
Viroba huwa vinawasaidia watu kufanya maamuzi magumu....bado sijafahamu kuwa kiroba kimoja kimebeba bia ngapi lakini nahisi ni zaidi ya nne.......mwenyewe si unaujua mzuka wake mtu akishajidunga.........???mkuu KikulachoChako Hivi kiloba kimoja kina alcohol ya wastani wa bia ngapi vile..... ??? maana natafakari alcohol inayopatikana kwenye viroba kumi tena vile vya buguruni au kwa mnyabudu.
Binafsi nashindwa kuielezea kiundani ... Mfano: umepanga kufanya jambo fulani lakini mwisho wa siku unalipotezea na kuona halina maana au halina umuhimu wakati mwanzo uliona umuhimu wake....
Kiufupi tu ni kwamba unakuwa unapotezea jambo.....
Wakati mwingine linaweza kuwa ni jambo la msingi kabisa lakini unalipifa chini unafanya lingine ambalo hata halina uzito
Viroba huwa vinawasaidia watu kufanya maamuzi magumu....bado sijafahamu kuwa kiroba kimoja kimebeba bia ngapi lakini nahisi ni zaidi ya nne.......mwenyewe si unaujua mzuka wake mtu akishajidunga.........???
Kama vp piga nyeto 2
Inatokea
Wakati akiwa kazima ndio misimamo ndio inamuingia na akiamka anakuwa mtu mpyaa kabisa mwenye utashi usioyumba yumba....Hasa mkuu hata kama ni kiroba kimoja ni bia 4 , sasa viroba 10 ni bia zisizo pungua 40, mkuu huyo jamaa si atazima kabisa mpaka kufika jioni...
Kweli mtani ngoja tumsikilizie maana muda mwingine utashi huwa unasumbua kweli....tuendelee kumpa mda yawezekana utashi ukampeleka vizuri
Inawezekana na wewe mkuu utashi wako unakusumbua.....Kama vp piga nyeto 2
Kweli mtani ngoja tumsikilizie maana muda mwingine utashi huwa unasumbua kweli....
huyu jamaa ni UTASHI MAWENGE