Nipo kinyume na utashi wangu,kwanini?

Nipo kinyume na utashi wangu,kwanini?

Waziir Hamad

Senior Member
Joined
Jan 19, 2015
Posts
102
Reaction score
25
Habari zenu wadau.natumai hamjambo.

Hivi ni kwanini inatokea unajikuta mtu uko against your mind,unapingana na akili yako kivitendo,labda una mpango kwamba once ukipata nafasi umu aproach msichana fulani halafu inakutoka kabisa.

Msichana labda ushampa swaggz kwamba una shida nae,halafu anakuja kukuona huna mpango nae tena,hata nisipokuwa care vya kutosha najikuta hata girlfriend nilienae nampuuza,ni ubize wangu au? naombeni msaada najua nipo na great thinkers.
 
kwa sababu HUJIAMINI KWA KILE UNACHOKIFANYA..... unanegative thought kwa kila unalofikiri unahitaji ... kama ni mahusiano unahisi nitaachwa au malaya... jambo amabalo si jema na halina mashiko... kujiamini ni fimbo ya kupiga kila kitu duniani...

Kuna watu mna vipaji vya kutoa elimu ya psychology, tumieni mpige hela mjini hapa!
 
Back
Top Bottom