Nipo Kinondoni nasikia vishindo...

Nipo Kinondoni nasikia vishindo...

Nipo hapa Mwenge napata wali maini. Palitokea taharuki baada ya vishindo kusikika.

Ahsante kwa ufafanuzi.
 
Kuna mkuu mmoja wa jesh kafariki jana so anasafirishwa kuweni na amani wakuu nipo jirani hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom