Nipo kijiji cha Mpwayungu, kipo shwari kabisa

G'taxi

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
6,565
8,426
Mpwayungu

Kwa wenyeji wa Tarafa ya Mpwayungu, leo nipo hapa kwa masaa sita hivi, Kijiji ni kitulivu siyo mbaya, leo hali ya hewa siyo mbaya kabisa maana najua wazi kabisa kua, viunga vya Dodoma hua vinawaka jua la kutosha

Lakini leo Pako shwari kabisa, kama kuna mwenyeji tusalimiane, nipo hapa mpaka kwenye 16:30pm
 
pengine ni yemwenyewe hawa ndio watu wa jf na fake zetu unajiponda huku unajifagilia huku oya mpyayu kaka yako huyu kaja kukutembelea
Mimi siyo Mpwayungu bhana, unaweza tazama account yangu vzr siyo wa leo wala jana

Any way wenyeji niko Nkuhungu usiku huu karibuni japo kwa maji baridi

Mgeni njoo mwenyeji apone
 
Back
Top Bottom