Nipo geto

Nipo geto

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,372
Nafanya mazoezi ya kwaya kwa ajili ya kesho kanisani,Jasho imenitoka,naimba kwa sauti kali,kweli ufalme wa Mungu unahitaji moyo.





hivi nye mmestaafu kwaya?
 
Kaaazi kweeelii kweeeelii.

Hii ni JF weekend.
 
haaaaaaa.....lelelelelelee....lululu...yaaaaaa!!!!
sauti ta sita na nusu hiyo....kanisa nizima bila mimi j2 misa zote huairishwa!?!
 
Sijajuaga ila sasa umeniambia naanza kuhisi kuna ukweli.. Mh basi great couple!
Tatizo Jane000 bado anambania jamaa....ila akigoma Jf hadi Mods wataingilia kati hadi akubaliwe
 
Back
Top Bottom