Nipo Dar, wananipigia simu nije mjini wamenikimbia

Ni waongeaji sana ukiwa unaongea nao kwa simu utadhani ni mabilionea,, wanakukwepa ili wasiaibike maana kuna wengine wanashindia mlo mmoja tu.
Ukionana nao wanaaibikaje? Kwani utawafanya waanze kukugharimikia?
 
Watashindwa kuprove uhalisia wa maisha wanayotudaganya kwenye simu,, ehh namiliki Range,, mtoko mmoja natumia zaidi ya 1m,,kumbe choka mbaya.
 
njaa zako zimekuponza, atutakagi ujinga ss[emoji16] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Watashindwa kuprove uhalisia wa maisha wanayotudaganya kwenye simu,, ehh namiliki Range,, mtoko mmoja natumia zaidi ya 1m,,kumbe choka mbaya.
Dah mkuu siku hizi ukimiliki Range hata Bila kuambiwa utajua kuwa Range ipo.Sasa kwani hao watu wanaojigamba kuwa wapo safi Bado wapo?
 
Ni waongeaji sana ukiwa unaongea nao kwa simu utadhani ni mabilionea,, wanakukwepa ili wasiaibike maana kuna wengine wanashindia mlo mmoja tu.
Waombe wakuazime elf 50 tsh uone maajabu ya karne!
 
Back
Top Bottom