Nipo Dar, nahitaji mkopo wa riba, na hata dhamana.

Nipo Dar, nahitaji mkopo wa riba, na hata dhamana.

Copied and pasted:

Ndugu wanaJF habari zenu, naomba kuelekezwa au kujulishwa sehemu ambayo ninaweza kupata mkopo wa kuanzia 20k kwa hapa Dar!

Nitarejesha baada ya week 2 kuanzia leo(ikiwa itawezekana).

Natanguliza shukrani za dhati. Mimi nipo kata ya Mabibo Mwisho.

Ingependeza ningefahamishwa pia vigezo na masharti kwa ufupi, vya maeneo kopeshaji.

Nina kazi ya uhakika wa kurehesha mkopo kwa wakati.

Ahsanteni sana.
Naweza kukusaidia kama utakuwa na gari lkn namba D ndo dhamana yako ya kupata mkopo mpka milion30 ndani ya cku cm namba 0675581811
 

Attachments

  • InShot_20220701_103422753.jpg
    InShot_20220701_103422753.jpg
    125.8 KB · Views: 27

Similar Discussions

Back
Top Bottom