Nipo Dar, nahitaji mkopo wa riba, na hata dhamana.

Nipo Dar, nahitaji mkopo wa riba, na hata dhamana.

unacheka unamana gani

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
472
Reaction score
484
Copied and pasted:

Ndugu wanaJF habari zenu, naomba kuelekezwa au kujulishwa sehemu ambayo ninaweza kupata mkopo wa kuanzia 20k kwa hapa Dar!

Nitarejesha baada ya week 2 kuanzia leo(ikiwa itawezekana).

Natanguliza shukrani za dhati. Mimi nipo kata ya Mabibo Mwisho.

Ingependeza ningefahamishwa pia vigezo na masharti kwa ufupi, vya maeneo kopeshaji.

Nina kazi ya uhakika wa kurehesha mkopo kwa wakati.

Ahsanteni sana.

Ni kijana ninayemheshimu, mkweli na muaminifu[emoji115][emoji115]
 
Wewe unaomba kijanja. Kutokana na JF kuwa na matapeli wengi wanaoomba kusaidiwa, umeona uingie kwa gea ya kukopa ili atokee member mwenye huruma kuambie chukuwa hii wala sijakukopesha.
NOOOO! NIPO SERIOUS, NA SIHITAJI 10K KAMA NILIVYOSEMA. NATAKA VIKUNDI VYA KUKOPESHA KWA RIBA, IWE SACCOS AU VICOBA. SIHITAJI PESA YA BURE KUTOKA KWA YEYOTE. SITAKI HATA KUONANA NA MHUSIKA, NATAKA TU ANIAMBIE KWA HAPA DAR NIENDE WAPI PANAPOHUSIKA NA SHUGHULI HIZI.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom