Nipo bukheri wa afya

Nipo bukheri wa afya

Mshana Jr ulivokuwa kimya nilikua na wasiwasi jambo baya limekupata am glad ua back kwa kweli mana walizusha kuwa umefariki jamani.
 
mshana jr inaonekana una wateja wengi sana humu haswa akina dada tena wameonyesha hali ya taharuki baada ya kusikia tetesi za matatatizo ila wamepata ahueni baada ya ujio wako
 
Natumai wote mu wazima, tumepoteana kidogo! Nimerejea, mara ya mwisho niliwasiliana hapa na BAK na dadaangu niah kupitia post moja kuwa nasafiri kidogo na wote hao na wengine pia wakanitakia safari njema.

Naona ni hulka ya binadamu kutakiana mabaya ndio maana breaking news nyingi husambaa haraka hasa linapokuwa ni jambo baya husasani kifo ama ajali.

Naona nimehusishwa na yule jamaa mwenye jina la Nge mwenye tuhuma za kumtoa mtu macho kuwa ni mimi[emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144]

Nimehusishwa pia na tukio la kijichi kuwa yule aliyeanguka na ungo ni mimi[emoji134] [emoji134] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124]

Pia nimehusishwa na kutumbuliwa nknk !nimebaki kucheka, sijakasirika nimerejea bukheri wa afya.

Sihusiki kabisa na matukio yote yaliyohusishwa na mimi
Pole sana Mshana, waambie tu ulienda Nigeria kuongeza cheo
 
Ni jambo jema kwamba umerejea salama. Si kawaida kwa watu kuulizwa kama jinsi ilivyotokea kwako. Hiyo ni dalili kwamba una deni kubwa sana kwa wana JF na pia wanathamini sana michango yako. Aidha kwa hili lililotokea inaonyesha kwamba umejijengea mahusiano mazuri na washirika waliomo humu JF. Hongera sana na karibu sana kijiweni.
Shocked n humbled kaka! Sitawaangusha
 
mshana jr inaonekana una wateja wengi sana humu haswa akina dada tena wameonyesha hali ya taharuki baada ya kusikia tetesi za matatatizo ila wamepata ahueni baada ya ujio wako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Natumai wote mu wazima, tumepoteana kidogo! Nimerejea, mara ya mwisho niliwasiliana hapa na BAK na dadaangu niah kupitia post moja kuwa nasafiri kidogo na wote hao na wengine pia wakanitakia safari njema.

Naona ni hulka ya binadamu kutakiana mabaya ndio maana breaking news nyingi husambaa haraka hasa linapokuwa ni jambo baya husasani kifo ama ajali.

Naona nimehusishwa na yule jamaa mwenye jina la Nge mwenye tuhuma za kumtoa mtu macho kuwa ni mimi[emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144]

Nimehusishwa pia na tukio la kijichi kuwa yule aliyeanguka na ungo ni mimi[emoji134] [emoji134] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124]

Pia nimehusishwa na kutumbuliwa nknk !nimebaki kucheka, sijakasirika nimerejea bukheri wa afya.

Sihusiki kabisa na matukio yote yaliyohusishwa na mimi

Aisee mshana jr karibu sana maana nilikuwa na wasiwasi nawe kwa sababu kuna jamaa alianguka na ungo majuzi tu huko maeneo ya Mbagala akiwa anakwenda kwao Kilimanjaro kuchuku mbege na mtori. Nilimwangalia kwa umakini pale alipoanguka na kumuita jina lako ila hakunijibu ila aliniangalia tu huku akinicheka na nilishindwa kuthibitisha kama ni wewe maana hapa unatumia avatar. Ee bwana karibu sana na pole kwa kuharibikiwa na ungo.
 
9df03ed2-997d-43df-a812-39d7a0211127.jpg

Mzee asiejulikana amedaiwa kuanguka na ungo maeneo ya Mtoni Kijichi jijini Dar, pichani maiti ya mzee huyo ikishushwa ktk Gari ya polisi na kuihifadhi maiti katika mortuary ya Temeke Hospital
R.I.P mzee naona babu alipita anga baya kwake akakutana na watata zaid yake
 
Aisee mshana jr karibu sana maana nilikuwa na wasiwasi nawe kwa sababu kuna jamaa alianguka na ungo majuzi tu huko maeneo ya Mbagala akiwa anakwenda kwao Kilimanjaro kuchuku mbege na mtori. Nilimwangalia kwa umakini pale alipoanguka na kumuita jina lako ila hakunijibu ila aliniangalia tu huku akinicheka na nilishindwa kuthibitisha kama ni wewe maana hapa unatumia avatar. Ee bwana karibu sana na pole kwa kuharibikiwa na ungo.
Duhh, aiseee mbona hatareee!
 
Naamini uhakiki umepita kwa amani kwako maaana huyu aliyepo kila sehemu yupo
 
Natumai wote mu wazima, tumepoteana kidogo! Nimerejea, mara ya mwisho niliwasiliana hapa na BAK na dadaangu niah kupitia post moja kuwa nasafiri kidogo na wote hao na wengine pia wakanitakia safari njema.

Naona ni hulka ya binadamu kutakiana mabaya ndio maana breaking news nyingi husambaa haraka hasa linapokuwa ni jambo baya husasani kifo ama ajali.

Naona nimehusishwa na yule jamaa mwenye jina la Nge mwenye tuhuma za kumtoa mtu macho kuwa ni mimi[emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144]

Nimehusishwa pia na tukio la kijichi kuwa yule aliyeanguka na ungo ni mimi[emoji134] [emoji134] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124]

Pia nimehusishwa na kutumbuliwa nknk !nimebaki kucheka, sijakasirika nimerejea bukheri wa afya.

Sihusiki kabisa na matukio yote yaliyohusishwa na mimi
samahani kwa kutoka nje ya mada..ulikuta pm ngapi na alerts ngapi?..ni hayo tu
 
Back
Top Bottom