Nipo bukheri wa afya

Nipo bukheri wa afya

kiongozi,
kuna uzi niliuona humu ulikuwa ukieleza kuwa umefariki zaidi ya wiki moja sasa.
 
Afadhali kaka umerejea ila nina maswali kidogo kwakuwa hiyo post uliyowasiliana na *dada* yako sikuiona...

1. Ni wapi huko boss hata ka tecno C8 hakashiki mtandao?

2. Vipi hujakutana na kamati ya nidhamu ya kuwawajibisha walokuwa wanakuhisisha na matukio mabaya?

3. Mbona hukuzungumzia lolote kuhusu Nge, Ungo n.k?

4. Tumtegemee Mshana Jr yuleyule au umerejea na mabadiliko??

5. Ukinijibu hayo [emoji115] nitasuuzika moyo kwa kuwa hata mimi nilikuwa na hofu japo nilijipa uhakika wa kurejea kwako huku JF.
Naomba nikujibu tu kwa ujumla wake kwamba kuna baadhi ya matukio nimekuja kuyasoma kwenye mitandao kwa mfano la kijichi
Hili la scorpion wakati naondoka ndio lilikuwa bichi kabisa
Sikuwa hewani kwa sababu maalum na za binafsi sana na kuna kipindi nilisafiri sehemu ambapo hata kuwa na simu haina maana kwakuwa simu hazikukuhitajika huko! Kulikuwa na namna nyingine ya mawasiliano
Nipo nimerejea nitegemee yule yule
 
Yaani![emoji39] [emoji39] [emoji39]
1476786752946.jpg
1476786763993.jpg
 
9df03ed2-997d-43df-a812-39d7a0211127.jpg


Mzee asiejulikana amedaiwa kuanguka na ungo maeneo ya Mtoni Kijichi jijini Dar, pichani maiti ya mzee huyo ikishushwa ktk Gari ya polisi na kuihifadhi maiti katika mortuary ya Temeke Hospital
[emoji33][emoji33][emoji33]
Ivi kumbe ungo unaotumika ni ungo u u!!
 
Natumai wote mu wazima, tumepoteana kidogo! Nimerejea, mara ya mwisho niliwasiliana hapa na BAK na dadaangu niah kupitia post moja kuwa nasafiri kidogo na wote hao na wengine pia wakanitakia safari njema
Naona ni hulka ya binadamu kutakiana mabaya ndio maana breaking news nyingi husambaa haraka hasa linapokuwa ni jambo baya husasani kifo ama ajali
Naona nimehusishwa na yule jamaa mwenye jina la Nge mwenye tuhuma za kumtoa mtu macho kuwa ni mimi[emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Nimehusishwa pia na tukio la kijichi kuwa yule aliyeanguka na ungo ni mimi[emoji134] [emoji134] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124]
Pia nimehusishwa na kutumbuliwa nknk !nimebaki kucheka, sijakasirika nimerejea bukheri wa afya
Sihusiki kabisa na matukio yote yaliyohusishwa na mimi
1476724620265.jpg
Miss u.[emoji8]
 
Mkuu Mshana karibu nyumbani natumai wewe haukuanguka kama mjumbe wenu pale kijichi
 
mkuu umerudi umejishuhudia mwenye kuna jamaa nili mpm akaniambia majini yamemshinda nguvu
 
kuna watu walianzisha nyuzi humu kuwa mshana jr umefariki bahati nzuri Moderator waliufuta,nami ilikuwa kidogo nikucheki ofisini kwako pale Tumbi.Ila yule dogo aliyetoa mada umefariki sijui amechukuliwa hatua gani na uongozi wa Jf
 
Back
Top Bottom