kabanga
Platinum Member
- Dec 12, 2011
- 37,643
- 19,035
Mshana Jr..../!
Unadhani kwanini wanajamvi wanakuhusisha na "nge" aliyenyofoa macho na ile helikopita ya asili ilioanguka na kuuwa mtu kijichi?Natumai wote mu wazima, tumepoteana kidogo! Nimerejea, mara ya mwisho niliwasiliana hapa na BAK na dadaangu niah kupitia post moja kuwa nasafiri kidogo na wote hao na wengine pia wakanitakia safari njema.
Naona ni hulka ya binadamu kutakiana mabaya ndio maana breaking news nyingi husambaa haraka hasa linapokuwa ni jambo baya husasani kifo ama ajali.
Naona nimehusishwa na yule jamaa mwenye jina la Nge mwenye tuhuma za kumtoa mtu macho kuwa ni mimi[emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Nimehusishwa pia na tukio la kijichi kuwa yule aliyeanguka na ungo ni mimi[emoji134] [emoji134] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124]
Pia nimehusishwa na kutumbuliwa nknk !nimebaki kucheka, sijakasirika nimerejea bukheri wa afya.
Sihusiki kabisa na matukio yote yaliyohusishwa na mimi
Hahahaaa!Kweli kabisa kama jamaa wa Panya Road.
watu wanakupenda, ukipotea wanakumiss....!
pamoja kaka....Nimefarijika kaka