Nipo bukheri wa afya

Nipo bukheri wa afya

Wellcome back ndio ujue watu wanakupenda sana mie leo nilikuwa nina mpango wa kupeleka tangazo la kifo radio one bora umerudi aiseee[emoji6]
 
Poa Mkuu watu walikumiss humu na kuanza kutia shaka kuhusu afya yako. Nimefurahi kukuona karibu sana Mkuu. Natumai watu wa wote wa Msata wako bomba kabisa Mkuu 🙂🙂🙂

Natumai wote mu wazima, tumepoteana kidogo! Nimerejea, mara ya mwisho niliwasiliana hapa na BAK na dadaangu niah kupitia post moja kuwa nasafiri kidogo na wote hao na wengine pia wakanitakia safari njema
Naona ni hulka ya binadamu kutakiana mabaya ndio maana breaking news nyingi husambaa haraka hasa linapokuwa ni jambo baya husasani kifo ama ajali
Naona nimehusishwa na yule jamaa mwenye jina la Nge mwenye tuhuma za kumtoa mtu macho kuwa ni mimi[emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Nimehusishwa pia na tukio la kijichi kuwa yule aliyeanguka na ungo ni mimi[emoji134] [emoji134] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124]
Pia nimehusishwa na kutumbuliwa nknk !nimebaki kucheka, sijakasirika nimerejea bukheri wa afya
Sihusiki kabisa na matukio yote yaliyohusishwa na mimi
 
Haya sasa , wale wote waliokuwa wanamsingizia mabaya na kumuombea mabaya, ndio wakati wao wakutubu, kabla hajaanza kutest vyombo vyake vipya alivyokuja navyo . mshana jr , mimi nilikuwa nakuombea uende salama na urudi salama, na nimatumaini yangu dua langu rabana amelisikia , ikiwa umejitokeza , karibu baba, vp hujaja na vile za mvuto wa wana wake, manake mpaka wanafunzi wa shule za msingi wanazinunua.
Acha woga hahahahhahah hahahahahah (bold) unaogopa vibweka vya Mshana jr
 
Tuwekeeni picha ya mchawi wa kijichi. Alianguka lini na kijichi ya wapi? Wanga bwana.
 
Poa Mkuu watu walikumiss humu na kuanza kutia shaka kuhusu afya yako. Nimefurahi kukuona karibu sana Mkuu. Natumai watu wa wote wa Msata wako bomba kabisa Mkuu 🙂🙂🙂
Asante sana kiongozi kote kuko njema kabisa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Karibu sana kaka, kiukweli tulikumiss sana, na kudhihirisha hilo wengi wakawa wanatuma salam za masihara ili tu kufarijiana ktk uzi ule.
Mimi nilitoka kuhenyeshwa na zoezi la uhakiki, na hasa nilipoambiwa nitoe cheti cha darasa la saba, tena chenye matokeo! La haulah, nikawaza je kama kaka mshana jr kaombwa apeleke cha shule aliosomea vidudu itakuwaje? Ni haki kuadimika. All in all, welcome back GT.
 
9df03ed2-997d-43df-a812-39d7a0211127.jpg

Mzee asiejulikana amedaiwa kuanguka na ungo maeneo ya Mtoni Kijichi jijini Dar, pichani maiti ya mzee huyo ikishushwa ktk Gari ya polisi na kuihifadhi maiti katika mortuary ya Temeke Hospital
 
Natumai wote mu wazima, tumepoteana kidogo! Nimerejea, mara ya mwisho niliwasiliana hapa na BAK na dadaangu niah kupitia post moja kuwa nasafiri kidogo na wote hao na wengine pia wakanitakia safari njema
Naona ni hulka ya binadamu kutakiana mabaya ndio maana breaking news nyingi husambaa haraka hasa linapokuwa ni jambo baya husasani kifo ama ajali
Naona nimehusishwa na yule jamaa mwenye jina la Nge mwenye tuhuma za kumtoa mtu macho kuwa ni mimi[emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Nimehusishwa pia na tukio la kijichi kuwa yule aliyeanguka na ungo ni mimi[emoji134] [emoji134] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124]
Pia nimehusishwa na kutumbuliwa nknk !nimebaki kucheka, sijakasirika nimerejea bukheri wa afya
Sihusiki kabisa na matukio yote yaliyohusishwa na mimi
Afadhali kaka umerejea ila nina maswali kidogo kwakuwa hiyo post uliyowasiliana na *dada* yako sikuiona...

1. Ni wapi huko boss hata ka tecno C8 hakashiki mtandao?

2. Vipi hujakutana na kamati ya nidhamu ya kuwawajibisha walokuwa wanakuhisisha na matukio mabaya?

3. Mbona hukuzungumzia lolote kuhusu Nge, Ungo n.k?

4. Tumtegemee Mshana Jr yuleyule au umerejea na mabadiliko??

5. Ukinijibu hayo [emoji115] nitasuuzika moyo kwa kuwa hata mimi nilikuwa na hofu japo nilijipa uhakika wa kurejea kwako huku JF.
 
Back
Top Bottom