Nipo Barbados, wengi wanafikiri Afrika ni nchi tu wala sio bara

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Nipo barbados. Ni Island country kanapatikana Amerika kaskazini, Najihisi kama nipo Afrika tu.

Ivi kwanini viongozi wa afrika wasishawishi hawa wenzetu ambao wanapatikana katika Bara la Amerika na oceani kujiunga Na umoja wa afrika tu.

Kulingana na Historia ni kuwa Hawa wenzetu ambao wanapatikana katika ma Islands ya Bara la America babu Zao Na bibi Zao ndo wale ndugu zetu ambao walikuwa wanachukuliwa na kupelekwa utumwani.

Kwa ufupi Hawa wenzetu kabisa wanatakiwa wafundishwe kuhusu afrika Na ikiwezekana wajiunge Na umoja wa Afrika.

Maana wengi wanafikiri afrika ni nchi tu Wala sio continent.
 
Kabla hamjawashawishi kujiunganao tatueni kwanza matatizo yenu waafrika bado sana ati mpk leo mwapigania dini!,nchi imezungukwa na maji watu hawana maji na wanalia njaa! Aibu jamani..!
 
Nipo barbados. Ni Island country kanapatikana Amerika kaskazini, Najihisi kama nipo Afrika tu.

Ivi kwanini viongozi wa afrika wasishawishi hawa wenzetu ambao wanapatikana katika Bara la Amerika na oceani kujiunga Na umoja wa afrika tu.

Kulingana na Historia ni kuwa Hawa wenzetu ambao wanapatikana katika ma Islands ya Bara la America babu Zao Na bibi Zao ndo wale ndugu zetu ambao walikuwa wanachukuliwa na kupelekwa utumwani.

Kwa ufupi Hawa wenzetu kabisa wanatakiwa wafundishwe kuhusu afrika Na ikiwezekana wajiunge Na umoja wa Afrika.

Maana wengi wanafikiri afrika ni nchi tu Wala sio continent.
Huna picha ya warembo?, au hujakaribishwa?
 
Back
Top Bottom