Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,814
- 61,494
- Thread starter
- #21
Siuzi mbegu, natoa bure kabisaChai
Siuzi mbegu, natoa bure kabisaChai
Wamechukua sura yangu kabisaKapime DNA kwanza
Sawa sawa, una mapacha wangapi?
Asante sanaSiuzi mbegu, natoa bure kabisa
Tupambane sana, maandiko yanasema twende tukaijaze dunia.Asante sana
Kila la kheriTupambane sana, maandiko yanasema twende tukaijaze dunia.
Watoto watramu sana
Kabla hujaiacha hii dunia pambana kweli kweli kupata mapachaMapacha==Makebo==Matako ?
Umempatia wangapi?Watoto watramu sana
Ulimbinjua style gani mkuuHatimaye na mimi nimepata watoto mapacha, kwa mchepuko wangu pisi kali. Nilikuwa napambana sana kulenga shabaha za hapa na pale, pamoja na mastaili tofauti tofauti ili nami mwisho wa siku niweze kupata mapacha. Ila nadhani ile staili sijui popo kafanyaje...! inawezekana ndio imenipa haya matokeo. Kwa wewe unayesoma huu uzi, unajisikiaje kutokuwa na mapacha? Mimi nipo pale napata kahawa kidogo ili nitoe baridi.
Aaaah weee niache wewe.Kabla hujaiacha hii dunia pambana kweli kweli kupata mapacha
Huyu wa sasa hivi mbona kafanana na mimi hivyo... hahaha...Watoto watramu sana
Kuna ile popo kafanyaje sijui....Ulimbinjua style gani mkuu
Hata siielewiKuna ile popo kafanyaje sijui....
Hapa duniani utaacha alama ipi?Aaaah weee niache wewe.
Tunatoa tuishieni kwa wale wanaotaka kubeba vitambi mapachaHata siielewi
Mastyle deadly deadly.Mastaili mengi mengi sana