Ina matokeo chanya, ukiirudia mara kwa mara kwa wiki sita, unapata mapacha sitaKanyea Mbingu
Mtu na damu yako kali anaachaje kukufanana aweeeeh!Huyu wa sasa hivi mbona kafanana na mimi hivyo... hahaha...
Nani mwenye asili ya pacha kwao? Wewe au mwanamke?Hatimaye na mimi nimepata watoto mapacha, kwa mchepuko wangu pisi kali. Nilikuwa napambana sana kulenga shabaha za hapa na pale, pamoja na mastaili tofauti tofauti ili nami mwisho wa siku niweze kupata mapacha. Ila nadhani ile staili sijui popo kafanyaje...! inawezekana ndio imenipa haya matokeo. Kwa wewe unayesoma huu uzi, unajisikiaje kutokuwa na mapacha? Mimi nipo pale napata kahawa kidogo ili nitoe baridi.
Imetokea tuNani mwenye asili ya pacha kwao? Wewe au mwanamke?
Dhahir alitumia "equation x"Ulitumia mtindo gani mkuu!! Mbuzi kagoma au?
Ooh.... Good. HongeraImetokea tu
Huu uzi unawakosesha amani wapiga nyetoHatimaye na mimi nimepata watoto mapacha, kwa mchepuko wangu pisi kali. Nilikuwa napambana sana kulenga shabaha za hapa na pale, pamoja na mastaili tofauti tofauti ili nami mwisho wa siku niweze kupata mapacha. Ila nadhani ile staili sijui popo kafanyaje...! inawezekana ndio imenipa haya matokeo. Kwa wewe unayesoma huu uzi, unajisikiaje kutokuwa na mapacha? Mimi nipo pale napata kahawa kidogo ili nitoe baridi.