Nipeni ushauri wa haraka hapa

Nipeni ushauri wa haraka hapa

Kifai

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
816
Reaction score
173
Nilikutana nae miezi miwili, iliyopita,ni mchepuko dizain jana pia nilikuwa nae kuanzia saa sita mchana hadi asubuhi hii, ni binti mmoja mrembo wa kisingida, nimempata bata za kutosha ucku mzima wa jana, ucku tukafanya yetu kama kawa, tulitumia zaidi ya laki na ishirini kwa ucku ule,

Asubuhi nimempata elfu ishirini kazirudisha kwa hasira kwamba hazimtoshi, bado nipo najifikiria hapa nimtafute tena? Cause amenisusa kabisa, na hata nikimtafuta cna hela ingine ya kumuongezea, kosa langu liko wapi hapo jamani wadau,raha tulikula nae na ucku alikuwa kwenye 6/6 alikuwa ananishukuru namfikisha mlima k.'njaro najua michepuko cyo dili lakini......!
 
Bado Sijaelewa why unahijaji 'ushauri wa haraka'?
 
Kiu imesharudi, na hela hana. 120,000 + 20,000 ya mkono wa heri inamaana 140,000/- kwa starehe ya siku moja.

mpe ushauri apate wapi walau 150,000/- ya leo
Bado Sijaelewa why unahijaji 'ushauri wa haraka'?
 
haya mengne muwe mnashauriana huko mtaani na michepuko wenzenu
 
Kiu imesharudi, na hela hana. 120,000 + 20,000 ya mkono wa heri inamaana 140,000/- kwa starehe ya siku moja.

mpe ushauri apate wapi walau 150,000/- ya leo

Funny how cheap sex can be very costly
 
Hizi starehe zishindwe katika jina la yesu
 

Attachments

  • 1406969055647.jpg
    1406969055647.jpg
    65.7 KB · Views: 256
Ushauri ni achana kabisa na michepuko, hiyo 140,000/ ungempa mkeo kwa shopping zake najua angekununulia na wewe japo boxer na mwanao/wanao pia!! Na angependeza kuliko huo mchepuko
 
Nakushauri hiyo uliyobakiza nenda bugurundi utapata zaidi ya hivyo,
kwa mfano buku mbili unatafuna toto la haya ,huyo wa singida cha mtoto
huduma nyingine ni maji safi ya kuoga na condom za buree.
Hutapata stress za kitoto
 
Kaibe bank raha ule mwenyewe uje omba ushauri hapa mxuuuuuuuuu!!
 
Ushauri wa haraka nenda bank au saccos kakope hela muendelee kula starehe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom