Nipeni ushauri wa haraka hapa

Nipeni ushauri wa haraka hapa

Naona mleta uzi kaja kutuaribia wanyiramba....mkuu sie sio wa bei rahisi kiivyo...20000 kaaaah uu ni udharirishaj mkubwa
 
acha kuchepuka... utafirisika... umekula 120,000.... asubuh unampa 20,000 anasema ndogo... ina maana hauoni kuwa ni wewe wa kutoa tu.
 
na mkeo ulimwachia ngapi?i just feel pity for your wife for having a useless husband like you
 
Naona mleta uzi kaja kutuaribia wanyiramba....mkuu sie sio wa bei rahisi kiivyo...20000 kaaaah uu ni udharirishaj mkubwa

Kumbe wewe ni wa Singapore!! Mna hatari sana nyie.Kwahyo nyie ni wa bei gani kwa kukadiria?
 
Ukimpeleka mtu kempisk basi jua kuwa anategemea umpe hela kulingana na hadhi ya kempiski.kama una uwezo wa kutumia 120,000 kwa usiku mmoja ina maana kutoa elfu 20 ni dharau.

Hayo ni maelezo tu mkuu,ushauri wangu ni huu achana na hizo mambo maana unaonekana hela yako unaitafuta kwa shida sana ndio maana unaiwaza.kuwa na mmoja na fanya maendeleo,hautokuwa kijana milele na wala hutopewa zawadi kwa kutembea na wanawake wengi
 
Nilikutana nae miezi miwili, iliyopita,ni mchepuko dizain jana pia nilikuwa nae kuanzia saa sita mchana hadi asubuhi hii, ni binti mmoja mrembo wa kisingida, nimempata bata za kutosha ucku mzima wa jana, ucku tukafanya yetu kama kawa, tulitumia zaidi ya laki na ishirini kwa ucku ule,

Asubuhi nimempata elfu ishirini kazirudisha kwa hasira kwamba hazimtoshi, bado nipo najifikiria hapa nimtafute tena? Cause amenisusa kabisa, na hata nikimtafuta cna hela ingine ya kumuongezea, kosa langu liko wapi hapo jamani wadau,raha tulikula nae na ucku alikuwa kwenye 6/6 alikuwa ananishukuru namfikisha mlima k.'njaro najua michepuko cyo dili lakini......!
Rrraaaabish utumbo gani huu unauliza tukushauri nini sasa.shame on u!!!!!allaaa
 
Mpige chini utapata mwngne..endelea kuchepuka tu.huo ndo ushaur wangu wa haraka
 
daah,hivi hebu jiulize kitu;hyo 140,000 ungeispend kwa mkeo huoni ungepata hicho ulichokuwa unakitafuta kwa mchepuko kwa raha zaidi na siku nyingi zaidi??
yaani ungemchkua mkeo ukamsuprise japo saluni tu akatengnze kucha na kuretouch nywele zake hapo haizidi buku 30,then unampeleka lunch japo hata kfc hapo napo hamtamaliza buku 30,thn nyt mnaenda century cinemax mnachek muvy hapo napo haitazidi 30.hyo 10 unampa ya vocha hapo laki imeisha imebaki 40,kesho yake unampeleka japo coco beach mkale ile mihogo na mishkaki ya pale unamaliza 30,hyo 10 unampa vocha.huoni hapo atakupenda zaidi??come on man,cjui unataka ushauri gani zaidi ya ww uwe creative.labda ushauriwe ukapime ukimwi huyo mchepuko asije akawa amekuambukiza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom