kimara Kimara
Senior Member
- Jul 7, 2024
- 137
- 278
Mambo vipi wakuu, Nipeni ushauri nimefikia hatua ya kujenga karo la choo.
Je ni Shimo lipi linafaa kwenye ardhi ya Udongo wa kichanga (SAND SOIL) kati ya Lile la kisasa lisilojaa ama yaja yetu ya kawaida.
Kuna Uzi humu (MODERATORS NAOMBA MUUSHUKIZE) Ulikua inaongelea hasara za mashimo ya kisasa kwamba ukikosea utaingia gharama mara mbili and soo
Pia soma Mfumo huu wa utengenezaji wa shimo la choo una changamoto/faida gani?